Ukiwa na hizi sifa, wanawake wote warembo utawapata

Ukiwa na hizi sifa, wanawake wote warembo utawapata

Mwanaume ukiwa na hizi sifa, wanawake wote warembo utawapata na kudumu nao:-​
  • Uwe na pesa ya matunzo​
  • Ujue kepelekea moto​
  • Uwe ni mtu mwenye swaga za kiume​
  • Uwe unakunywa pombe kwa kiasi​
  • Uwe ni mtu wakutoka toka 'out'​
  • Uwe mcheshi​
  • Uwe msafi​
  • Uwe na zile sifa 'keep change'​
Hapo, utawakimbia mwenyewe
Uhuru umezidi sana nchi hii
 
Mwanaume ukiwa na hizi sifa, wanawake wote warembo utawapata na kudumu nao:-​
  • Uwe na pesa ya matunzo​
  • Ujue kepelekea moto​
  • Uwe ni mtu mwenye swaga za kiume​
  • Uwe unakunywa pombe kwa kiasi​
  • Uwe ni mtu wakutoka toka 'out'​
  • Uwe mcheshi​
  • Uwe msafi​
  • Uwe na zile sifa 'keep change'​
Hapo, utawakimbia mwenyewe
Swaga za kiume zikoje?
 
Mwanaume ukiwa na hizi sifa, wanawake wote warembo utawapata na kudumu nao:-​
  • Uwe na pesa ya matunzo​
  • Ujue kepelekea moto​
  • Uwe ni mtu mwenye swaga za kiume​
  • Uwe unakunywa pombe kwa kiasi​
  • Uwe ni mtu wakutoka toka 'out'​
  • Uwe mcheshi​
  • Uwe msafi​
  • Uwe na zile sifa 'keep change'​
Hapo, utawakimbia mwenyewe
Huna hata hati ya kumiliki hatua moja afu unathubutu kusema "keep change"
 
Aisee,mi nimegundua Kwa kuchelewa sana,namba 2 Ina nguvu kuliko 1.Serious.LOVE IS FIRST 😋
 
Hawa ndo vijana waleo!, Alafu wakiona flani ana piga hatua za maendeleo wanaanza kumchunguza kiwivu na kuanza kumpakazia juu ya maendeleo yake!!

Bila kusahau yeye huaga amewekeza kwenye "kukeep change".
Maisha yana sehemu kuu tatu:-
  • Kuzaliwa
  • Kuishi
  • Kufa
kwa sasa tupo hatua ya pili ya kuishi, huku tunaelekea hatua ya mwisho ya kufa. Kwa hiyo, kuishi vizuri kuna umuhimu kwa sababu hakuna fursa nyingine ya kuja kuishi tena, tunapoenda hatua ya tatu.​
 
Back
Top Bottom