Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,712
- 63,397
Mwanaume ukiwa na hizi sifa, wanawake wote warembo utawapata na kudumu nao:-
- Uwe na pesa ya matunzo
- Ujue kepelekea moto
- Uwe ni mtu mwenye swaga za kiume
- Uwe unakunywa pombe kwa kiasi
- Uwe ni mtu wakutoka toka 'out'
- Uwe mcheshi
- Uwe msafi
- Uwe na zile sifa 'keep change'