Chrysanthemum
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 1,936
- 7,026
Sifa zote nnazo , ila keep change bora mninyonge 😀😀😀
Wanasema mkono ukiwa mfupi sana, vinono hupatiSifa zote nnazo , ila keep change bora mninyonge 😀😀😀
Hutakiwi kumuachia nafasi (kuwa lonely) kwa muda mrefuUnakuwa na sifa zote hizo
Anatokea muhuni mmoja mpaka rangi za kucha,anamsugua gaga vizuri anaishia kupewa mchezo
Haya mambo hayana formula,cha kuomba ni kupata mwanamke mwenye msimamo
Labda kama mnadumu huku mechi za ugenini zinachezwa
Anza kujikagua kwanza weweKwa nini mkuu?
Doesn't apply to all men!Wanasema mkono ukiwa mfupi sana, vinono hupati
Humuachii nafasi kwa hiyo mtaenda pamoja kupaka rangi?Hutakiwi kumuachia nafasi (kuwa lonely) kwa muda mrefu
Nko good. Mambo yako?Hujambo lkn?
Mkuu mimi nimechagua kubaki na zimwi linijualo !! Mke mmoja tu 😀😀Wanasema mkono ukiwa mfupi sana, vinono hupati
Hili jamaa sijui bwabwa? Halijishtukii tu, siyo mwanaume mwenzetu huyu.Humuachii nafasi kwa hiyo mtaenda pamoja kupaka rangi?
Shoga ni weweWe utakuwa shoga wewe; kwa mwanaume rijali, hawezi kuwaza kama wewe
Mbinu ni moja tu kuwa halisi acha ku pretend usilazimishe kuwa mcheshi wakati siyo mcheshi utakua kituko, siyo kila mwanamke anapenda mnywa pombe utafeliWeka za kwako tuzijadili
Muambie huyooooMbinu ni moja tu kuwa halisi acha ku pretend usilazimishe kuwa mcheshi wakati siyo mcheshi utakua kituko, siyo kila mwanamke anapenda mnywa pombe utafeli
Na hata ufanye nini huwezi kuwavutia wote.
Kutokuwa na hela ni shida sana, ata uwezo wa kufikiri unakuwa haupo; nakushauri TAFUTA HELA ili usiwe na makasiriko kwa watuHili jamaa sijui bwabwa? Halijishtukii tu, siyo mwanaume mwenzetu huyu.
Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Mrembo😂 Aniite vp sasa?
Hatari sana