Ukiwa na hizi sifa, wanawake wote warembo utawapata

Ukiwa na hizi sifa, wanawake wote warembo utawapata

Mwanaume ukiwa na hizi sifa, wanawake wote warembo utawapata na kudumu nao:-​
  • Uwe na pesa ya matunzo​
  • Ujue kepelekea moto​
  • Uwe ni mtu mwenye swaga za kiume​
  • Uwe unakunywa pombe kwa kiasi​
  • Uwe ni mtu wakutoka toka 'out'​
  • Uwe mcheshi​
  • Uwe msafi​
  • Uwe na zile sifa 'keep change'​
Hapo, utawakimbia mwenyewe

Hivi shule hazijafunguliwa ahaa ndo zinaenda kufunga
 
Mwanaume ukiwa na hizi sifa, wanawake wote warembo utawapata na kudumu nao:-​
  • Uwe na pesa ya matunzo​
  • Ujue kepelekea moto​
  • Uwe ni mtu mwenye swaga za kiume​
  • Uwe unakunywa pombe kwa kiasi​
  • Uwe ni mtu wakutoka toka 'out'​
  • Uwe mcheshi​
  • Uwe msafi​
  • Uwe na zile sifa 'keep change'​
Hapo, utawakimbia mwenyewe
Umechemsha hapo hanipati niwe mcheshi so what nichekecheke kijinga.. keep change no way....

Mengne saWea
 
Sa kama wake za watu wanaliwa na wauza mkaa kisa kaongezewa kanyongeza kidunchu ...unanambia nini hapa?HAWA WATU HAWANA FORMULA
 
Mwanaume ukiwa na hizi sifa, wanawake wote warembo utawapata na kudumu nao:-​
  • Uwe na pesa ya matunzo​
  • Ujue kepelekea moto​
  • Uwe ni mtu mwenye swaga za kiume​
  • Uwe unakunywa pombe kwa kiasi​
  • Uwe ni mtu wakutoka toka 'out'​
  • Uwe mcheshi​
  • Uwe msafi​
  • Uwe na zile sifa 'keep change'​
Hapo, utawakimbia mwenyewe
Nyongeza:
. Awe mrefu umbo size ya kati si mnene

.maji ya kunde au mweusi pia anavutia
 
Mwanaume ukiwa na hizi sifa, wanawake wote warembo utawapata na kudumu nao:-​
  • Uwe na pesa ya matunzo​
  • Ujue kepelekea moto​
  • Uwe ni mtu mwenye swaga za kiume​
  • Uwe unakunywa pombe kwa kiasi​
  • Uwe ni mtu wakutoka toka 'out'​
  • Uwe mcheshi​
  • Uwe msafi​
  • Uwe na zile sifa 'keep change'​
Hapo, utawakimbia mwenyewe
Uwe angalau 6 feet tall , huwa hawapendi andunje hawa

All in all hayana formular
 
Mwanaume ukiwa na hizi sifa, wanawake wote warembo utawapata na kudumu nao:-​
  • Uwe na pesa ya matunzo​
  • Ujue kepelekea moto​
  • Uwe ni mtu mwenye swaga za kiume​
  • Uwe unakunywa pombe kwa kiasi​
  • Uwe ni mtu wakutoka toka 'out'​
  • Uwe mcheshi​
  • Uwe msafi​
  • Uwe na zile sifa 'keep change'​
Hapo, utawakimbia mwenyewe
Hawa ndo vijana waleo!, Alafu wakiona flani ana piga hatua za maendeleo wanaanza kumchunguza kiwivu na kuanza kumpakazia juu ya maendeleo yake!!

Bila kusahau yeye huaga amewekeza kwenye "kukeep change".
 
Mwanaume mtaka maendeleo wapiga hatua hawandiki huu upuuzi ni wale wanaotaka umaskini kwa hali hii ya juu ndio wanaandika huu upuuzi
Na wanawake wahivyoo unaowataja wakikutana nawewe wanakuchuna hadi unafilisika wanaolewa na boda boda
Yaani kupenda papuchi ni upuuzi ?

Hii ni nature yetu dada tafadhali usiongee kabisa
 
Mwanaume ukiwa na hizi sifa, wanawake wote warembo utawapata na kudumu nao:-​
  • Uwe na pesa ya matunzo​
  • Ujue kepelekea moto​
  • Uwe ni mtu mwenye swaga za kiume​
  • Uwe unakunywa pombe kwa kiasi​
  • Uwe ni mtu wakutoka toka 'out'​
  • Uwe mcheshi​
  • Uwe msafi​
  • Uwe na zile sifa 'keep change'​
Hapo, utawakimbia mwenyewe
Sipend watu wenye akili ndg kama yako😡
 
Mwanaume ukiwa na hizi sifa, wanawake wote warembo utawapata na kudumu nao:-​
  • Uwe na pesa ya matunzo​
  • Ujue kepelekea moto​
  • Uwe ni mtu mwenye swaga za kiume​
  • Uwe unakunywa pombe kwa kiasi​
  • Uwe ni mtu wakutoka toka 'out'​
  • Uwe mcheshi​
  • Uwe msafi​
  • Uwe na zile sifa 'keep change'​
Hapo, utawakimbia mwenyewe
💯
 
Sina hata moja ila ninayo ya kuwapelekea moto tuu 🏃🏃
 
Back
Top Bottom