Ukiwa na hizi sifa, wanawake wote warembo utawapata

Ukiwa na hizi sifa, wanawake wote warembo utawapata

Mwanaume ukiwa na hizi sifa, wanawake wote warembo utawapata na kudumu nao:-​
  • Uwe na pesa ya matunzo​
  • Ujue kepelekea moto​
  • Uwe ni mtu mwenye swaga za kiume​
  • Uwe unakunywa pombe kwa kiasi​
  • Uwe ni mtu wakutoka toka 'out'​
  • Uwe mcheshi​
  • Uwe msafi​
  • Uwe na zile sifa 'keep change'​
Hapo, utawakimbia mwenyewe
Haswaaaa
 
Mimi huwa na force tu kwa sehem kubwa, maana hata nina hela warembo wana taka six pack tena, na sura tamu kama ya tonny, au kama ya mcharo, sasa nikiwa pa hela si wataenda kwa akina brown wa niache vumbi? Aisee hela natoa ila kwa tafakuri ya kina.
 
Mwanaume ukiwa na hizi sifa, wanawake wote warembo utawapata na kudumu nao:-​
  • Uwe na pesa ya matunzo​
  • Ujue kepelekea moto​
  • Uwe ni mtu mwenye swaga za kiume​
  • Uwe unakunywa pombe kwa kiasi​
  • Uwe ni mtu wakutoka toka 'out'​
  • Uwe mcheshi​
  • Uwe msafi​
  • Uwe na zile sifa 'keep change'​
Hapo, utawakimbia mwenyewe
Huwezi kua na pesa halafu ukawa na uwezo wa kupeleka Moto.
Chagua moja aidha uwe na pesa au uwe kibenten.
Wenye pesa hatuna muda wa kukanyagia kihiivyo, vitambi na ubize tutaacha wapi?
 
Mwanaume mtaka maendeleo wapiga hatua hawandiki huu upuuzi ni wale wanaotaka umaskini kwa hali hii ya juu ndio wanaandika huu upuuzi
Na wanawake wahivyoo unaowataja wakikutana nawewe wanakuchuna hadi unafilisika wanaolewa na boda boda
 
Wanawake wanapenda uwe na hela, ujue kupeleka moto vizuri, uwe handsome na mweupe kidogo, usiwe mfupi lakini pia usiwe mrefu sana, uwe muhuni na pombe kidogo, uende kumbi za starehe lakini kanisani kila jumapili usikose yani hapohapo uwe church boy, uwe mpole na mwenye aibu lakini muongeaji, uwe mjanja lakini kwake uwe fala etc. Yani kwa ufupi wanawake wanapenda wanaumue ambao hawapo huku duniani.
 
Mwanaume mtaka maendeleo wapiga hatua hawandiki huu upuuzi ni wale wanaotaka umaskini kwa hali hii ya juu ndio wanaandika huu upuuzi
Na wanawake wahivyoo unaowataja wakikutana nawewe wanakuchuna hadi unafilisika wanaolewa na boda boda
Simaanishi wanawake wa kuoa; ukitaka wakuoa, oa mwenye sura mbovu ili uzeeke naye peke yako
 
Back
Top Bottom