Ukiwa mwalimu jamii inakuona hauna maana

Ukiwa mwalimu jamii inakuona hauna maana

Tatizo kubwa ni woga wa maisha,, unakuta huyu mwalimu ndio ana msululu wa watu wanaomtegemea,,,, kwa muda atakaokua kaacha kazi je ataishije,,, sasa yale mawazo ya kuwa je atatoboa nje ya ajira lazima yampe woga
Nachekaa kama mazuri 😂😂
 
Waliku back then walikuwa wanaheshimika kama wakurugenzi. Title mwalimu ilikuwa ina matter sana.

Somethinf happened hapa katikati, somehow including kuwa involved na politica imewafanya waonekane tofauti
Nadhani utandawazi pia umesaidia kuwajua kuwa ni mabwege tu makabwera wasiokuwa na faida yoyote Ile
 
Walimu wamekuwa punching bay ya kila kiongozi na watumishi wote wa umma ikiwemo wao Kwa wao, yani ukienda kwenye ofisi za walimu kama mapango ya kondoa irangi lakini hawawazi utakuta wanacharuana wao Kwa wao utadhani wandengereko wa kimbiji

Mwalimu akienda bank anadharaulika, akienda hospital anadharaulika, akiwa halmashauri ndokabisa mpaka masijala hawapokei salam zao wanaona ni mtu wa kutupwa aliyekosa pa kwenda

Mwalimu amekuwa omba omba kila sehemu madukani mpaka sehemu za starehe, ukienda kwenye saccos wana mikopo mpaka ya laki Tatu, sasa unajiuliza ivi shida ya laki Tatu nayo ya kwenda mabotto kweli kukopa??

Ukiwa ATM wana fujo kama nguruwe hawatulii, walimu hawajui kupata deodorant basi wananuka kikwapa hao. Mwalimu mwalimu ifike wakati mjitambue mnakera sana ivi nyie ni watu wa namna ganiii??
na ndio hao hao waliokufundisha kuandika. watu wengine huwa mnajitakia laana za kizembe kabisa!

JESUS IS LORD&SAVIOR
 
Back
Top Bottom