Ukiwa mwalimu jamii inakuona hauna maana

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
14,304
29,841
Hii fani ukipita mitaani kila mtu anaona haina tija khabisa, ukisema tu mimi ni mwalimu basi wote wanakupuuza na kuona umekosa dira, sasa kwanini walimu jamani mnaendelea na hii kazi, hivi mnafaidika nini haswa?

Maana najaribu kuangalia faida hata moja tu sioni, mshahara wenu naona ni mdogo saaana ni bajeti yangu ya mafuta ya gari ya siku tatu au nne.

Hivi mnaishije nyie? Mnaboa bhnaa tokeni huko hapafai!
 
Hii fani ukipita mitaani kila mtu anaona haina tija khabisa, ukisema tu mm ni mwalimu basi wote wanakupuuza na kuona umekosa dira, sasa kwann walimu jamni mnaendelea na hii kazi ivi mnafaidika nini haswa??

Maana najaribu kuangalia faida hata moja tu sioni, mshahara wenu naona ni mdogo saaana ni bajeti yangu ya mafuta ya gari ya siku tatu au nne

Hivi mnaishije nyie ngumbaru?? Mnaboa bhnaa tokeni huko hapafai
Mwalimu leo huweki mkeka?
 
Mwalimu leo huweki mkeka?
We jamaaa .
Mkeka wa juzi huo Kuna timu imechana jana
Screenshot_20231228-210018.jpg
 
Hii fani ukipita mitaani kila mtu anaona haina tija khabisa, ukisema tu mimi ni mwalimu basi wote wanakupuuza na kuona umekosa dira, sasa kwanini walimu jamani mnaendelea na hii kazi, hivi mnafaidika nini haswa?

Maana najaribu kuangalia faida hata moja tu sioni, mshahara wenu naona ni mdogo saaana ni bajeti yangu ya mafuta ya gari ya siku tatu au nne.

Hivi mnaishije nyie? Mnaboa bhnaa tokeni huko hapafai!
Nakumbuka safari yako ya lindi na mtwara kusaka ajira ya ualimu wa kujitolea
 
Hii fani ukipita mitaani kila mtu anaona haina tija khabisa, ukisema tu mimi ni mwalimu basi wote wanakupuuza na kuona umekosa dira, sasa kwanini walimu jamani mnaendelea na hii kazi, hivi mnafaidika nini haswa?

Maana najaribu kuangalia faida hata moja tu sioni, mshahara wenu naona ni mdogo saaana ni bajeti yangu ya mafuta ya gari ya siku tatu au nne.

Hivi mnaishije nyie? Mnaboa bhnaa tokeni huko hapafai!
Mkuu labda baadhi ya walimu pia nadhani maisha ni vile unavyoweka na kutekeleza malengo yako. Kuna jamaa anafundisha Hesabu shule moja private X kule Karibu na bahari ya hindi. Jamaa anapokea milion 3 na anaendesha BMW X3.

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Hii fani ukipita mitaani kila mtu anaona haina tija khabisa, ukisema tu mimi ni mwalimu basi wote wanakupuuza na kuona umekosa dira, sasa kwanini walimu jamani mnaendelea na hii kazi, hivi mnafaidika nini haswa?

Maana najaribu kuangalia faida hata moja tu sioni, mshahara wenu naona ni mdogo saaana ni bajeti yangu ya mafuta ya gari ya siku tatu au nne.

Hivi mnaishije nyie? Mnaboa bhnaa tokeni huko hapafai!
Tatizo mna penda attention san
 
Back
Top Bottom