Walimu wamekuwa punching bay ya kila kiongozi na watumishi wote wa umma ikiwemo wao Kwa wao, yani ukienda kwenye ofisi za walimu kama mapango ya kondoa irangi lakini hawawazi utakuta wanacharuana wao Kwa wao utadhani wandengereko wa kimbiji
Mwalimu akienda bank anadharaulika, akienda hospital anadharaulika, akiwa halmashauri ndokabisa mpaka masijala hawapokei salam zao wanaona ni mtu wa kutupwa aliyekosa pa kwenda
Mwalimu amekuwa omba omba kila sehemu madukani mpaka sehemu za starehe, ukienda kwenye saccos wana mikopo mpaka ya laki Tatu, sasa unajiuliza ivi shida ya laki Tatu nayo ya kwenda mabotto kweli kukopa??
Ukiwa ATM wana fujo kama nguruwe hawatulii, walimu hawajui kupata deodorant basi wananuka kikwapa hao. Mwalimu mwalimu ifike wakati mjitambue mnakera sana ivi nyie ni watu wa namna ganiii??