Ukiwa mnyonge Tanzania...

Gfsonwin… Hapa tulipofika haitakiwi ujenge trust ya asilimia 100 kabisa kwa viongozi. Ndio maana kwangu mimi viongozi woote ambao wanawakilisha wanawakilisha/wanania ya kuwakilisha wananchi huwa naona wote wapo sawa kasoro huwa mmoja aweza kuwa in power na mwingine not in power… Ama tofauti nyingine yaweza kuwa mmoja kapata bahati ya kuwakilisha na tushaona uchemfu wake na mwingine anakuwa hajapata bado bahati ya kuwakilisha hivo bado anakuwa hajaonesha uwezo ama uchemfu wake. Katika viongozi kuna tu ile yupi ni mlaji lakini walau anajali pia maslah ya wananchi?

Wasomi unaweza watazama vyoyote vile mtu aamuavyo. Ila kumbuka kuwa the so called wasomi mara nyingi ndio wameonesha na kudhihirisha kuwa ni adui kubwa wa ‘Mnyonge’. Kumbuka kuwa Kiongozi wa leo ni msomi wa jana na juzi, msomi wa leo ndio kiongozi wa kesho na keshokutwa… But still HAKUNA hope kuwa kuna uwezekano wa a better Tanzania ya Wanyonge.

asha Dii kuna malai nimesema hivi tatizo letu sisi ni moja tu na ni kubwa sana manake linamifereji mingi sana, sisi tunasumbuliwa na woga tu. wasomi ni waoga na wasiosoma ni waoga. uoga huu hutunyima uthubutu na hata hutupunguzia ujasiri wa kutenda na kuamua.

tulijengewa wwoga sana nafsini mwetu toka vizazi vilivyopita. nakumbuka zamani nilipokuwa mdogo ukimtaja nyerere unakemewa na wazazi usimtaje tusije tukashtakiwa.............. unaikumbuka hii?? sasa hi ilikuwa ni njia ya kumnyongesha mnyonge zaid na zaid.

leo hii woga ule upo bado kiasi kwamba mnapotaka kuamua kit mnamfikiria hata mtu asiyekuwa na effect kwenu kwa kisingizio cha nae anapaswa ajue matokeo yake mnamshirikisha hata mtu asiyehusika kwenye jambo nyeti.
 
So far mimi naona kuwa moja ni bora ya nyingine... Ila whatever the case, yoyote ambayo ingekuwa hapo ingepewa kipaumbele kungekuwa na unafuu kwa wanyonge. Sijaelewa kuwa Mchaumbuzi analiangalia kivipi... Nasubiri atae ufafanuzi kama hatojali.

mm bado naona hiyo ni nadharia tu, hata huko kwa wenzetu huo usawa hakuna ila wanamaisha mazuri sana simply watu wanauthubutu na sio waoga, na hata kama mtu anaeka uzibe utashi wa muhusika unamsaidia.
 
Yaani wewe kubeba boksi melini unaona sio unyonge? Ngoja apate pa kupumulia huko ccmnec ndo utaisoma khabari yake.
Dudus kama hutajali naomba dadafua... Sioni kabisa Le Mutuz kuwa katika hiyo group ya kuwahi kuwa mnyonge.
 
mm bado naona hiyo ni nadharia tu, hata huko kwa wenzetu huo usawa hakuna ila wanamaisha mazuri sana simply watu wanauthubutu na sio waoga, na hata kama mtu anaeka uzibe utashi wa muhusika unamsaidia.

Hio ni one way of namna ya kueleza.. Ila ukweli unabaki viongozi wao wameona umuhimu wa hao wananchi kupata yale ambayo ni ya msingi na kuwawekea wepesi katika maisha. Hivo inaweza kuwa ya kinadharia zaidi hapa kwetu ila kwa wenzetu kwa kiasi fulani imefanikiwa...

asha Dii kuna malai nimesema hivi tatizo letu sisi ni moja tu na ni kubwa sana manake linamifereji mingi sana, sisi tunasumbuliwa na woga tu. wasomi ni waoga na wasiosoma ni waoga. uoga huu hutunyima uthubutu na hata hutupunguzia ujasiri wa kutenda na kuamua.

tulijengewa wwoga sana nafsini mwetu toka vizazi vilivyopita. nakumbuka zamani nilipokuwa mdogo ukimtaja nyerere unakemewa na wazazi usimtaje tusije tukashtakiwa.............. unaikumbuka hii?? sasa hi ilikuwa ni njia ya kumnyongesha mnyonge zaid na zaid.

leo hii woga ule upo bado kiasi kwamba mnapotaka kuamua kit mnamfikiria hata mtu asiyekuwa na effect kwenu kwa kisingizio cha nae anapaswa ajue matokeo yake mnamshirikisha hata mtu asiyehusika kwenye jambo nyeti.

Kwa upande wangu naona tatizo kubwa ni ukosefu wa 'Uzalendo' maana kama uthubutu kwa kweli tunao. Tunaweza tusiwe na uthutubu katika yale ambayo ni manufaa ya wengi ila uthubutu wa kuhakikisha kuwa linamgusa yeye moja kwa moja tena with a promise ya utajiri... Hapo ndipo utajuwa kuwa Mtanzania kwa uthubutu ni wamo.

Tumekosa ile uzalendo wa nchi yetu.. Kiasi cha kuwa na roho yakuuma juu ya nchi na wananchi kwa kutaka what is best kwa kiwango kinachowezekana. Kutaka ubora katika kila sector na the like... Kama tumeambiw tayari kuna ushahidi wa uhakika wa viongozi kuwa na uthubutu wa kuiba mabillion... Ni wazi kuwa hao hao viongozi wangekuwa kweli wazalendo basi wangekuwa na uthubutu wa kutaka kubadilisha Tanzania toka nchi maskini kuwa tajiri.
 
Yaani wewe kubeba boksi melini unaona sio unyonge? Ngoja apate pa kupumulia huko ccmnec ndo utaisoma khabari yake.

hahaha! King' yeye Le Mutuz kwanza hata hajielewii... No wonder hata mimi nashindwa kumuelewa. BTW wabeba ma box they are way off better dearie. Yeye Le Mutuz kuna mahala atakuwa alichemka ama tu kulikuwa na upungufu wa watu wanao mpa attention anayotaka, maana the guy can die naona akikosa attention... Which explains his comeback at Jf na hali aliaga.
 
Mnyonge atamsemea mnyonge mwenzie....ndiye atasimama kuwasemea wanyonge wenzie kwa madhila wanayoyapata.
Lakini hili kilio cha mnyonge huyu kisikike lazima atambue katika unyonge wake hayuko peke yake, kuna wanyonge wenziye.
Kwani wakiungana wanakuwa wanyonge tena?
 
Hio ni one way of namna ya kueleza.. Ila ukweli unabaki viongozi wao wameona umuhimu wa hao wananchi kupata yale ambayo ni ya msingi na kuwawekea wepesi katika maisha. Hivo inaweza kuwa ya kinadharia zaidi hapa kwetu ila kwa wenzetu kwa kiasi fulani imefanikiwa...

Kwa upande wangu naona tatizo kubwa ni ukosefu wa 'Uzalendo' maana kama uthubutu kwa kweli tunao. Tunaweza tusiwe na uthutubu katika yale ambayo ni manufaa ya wengi ila uthubutu wa kuhakikisha kuwa linamgusa yeye moja kwa moja tena with a promise ya utajiri... Hapo ndipo utajuwa kuwa Mtanzania kwa uthubutu ni wamo.

Tumekosa ile uzalendo wa nchi yetu.. Kiasi cha kuwa na roho yakuuma juu ya nchi na wananchi kwa kutaka what is best kwa kiwango kinachowezekana. Kutaka ubora katika kila sector na the like... Kama tumeambiw tayari kuna ushahidi wa uhakika wa viongozi kuwa na uthubutu wa kuiba mabillion... Ni wazi kuwa hao hao viongozi wangekuwa kweli wazalendo basi wangekuwa na uthubutu wa kutaka kubadilisha Tanzania toka nchi maskini kuwa tajiri.

uthubutu uliopo ni kwa wale wenye nafasi zao ila kwa mtu mnyonge haupo. imagin epolis anapata wapi nguvu na ujasiri wa kufyatua risasi kwa kijana aloko dukan kwenye manunuzi? je ujasiri wa kutumia silaha za moto hata kwenye eneo eti waondoe wrong parking unapatiakana wapi?? nafikiri wenye matumz ya madaraka ndio chanzo na ndio wenye uthubutu. namchukia yyte mwenye madaraka ya kisiasa hapa Tz na sipendi mamlaka walio nayo.
 
Back
Top Bottom