Ukiuona utupu wa ajuza utalaanika?

Ina maana Kenya hakuna wenyeviti wa vitongoji? Kwa nini mtu avue nguo kwa ajili ya kumaliza kesi ya madai?
 
Alikuwa anatafuta mshandandi tu huyo hamna cha laana wala nini.
 
Nimeisoma hiyo news ila kuna sehemu umekosea kuelezea.

ni hivi bibi alimvulia nguo mpangaji wake kumdai akiwa na binti yake, mtoto wa kiume akawa anamwambia mama yake avae nguo, mama hakusikia , mama akamgeuzia kibao kijana wake anamtetea mpangaji. kwahiyo kama anamtetea amilipie deni yeye, mama akampandishia hasira kijana wake , kijana akaingia chumbani kwake, mama akazidi kumpandishia kijana wake huku akimfuata hadi chumbani kwake.

hapo kijana na yeye ndipo alipomtolea uvivu mama yake akamwambia aondoke hapo chumbani kwake haraka na akavae nguo la sivyo atamuonyesha alivyo mahiri sana kwani ameanza siku nyingi sana. kijana akawa kama vile anakwenda kufunga mlango wa chumbani , mama alipoona amechenjiwa na kijana wake, akakimbia akipiga kelele na kupotelea kwenda kuvaa nguo!!

mathematics usemayo ndiyo sahihi............
 
Last edited by a moderator:
hehehe ,, kuna watu wamepinda hapa duniani.. amepata kitu gani sasa huyo mama zaid ya kuaibika na malipo hakupata ,,

wahida alichopata ni kuwa mcheza filamu za triple xxx kwa muda mfupi na bila malipo..........
 
Last edited by a moderator:
Pale kwetu kuna mama alikuwa anaibiwa ndizi na magimbi (sowe) kila mara
alipojua ni watoto wa jirani alichofanya ni kuvua nguo na kuzunguka mipaka ya
shamba huku akipiga debe tupu akisema mtoto wa fulani lazima utakufa
kwa kuwa umefanya so and so,

Baada ya miaka zaidi ya 20 nasikia ile familia ya yule jirani watoto
wote wamekufa. Nilipoambia hivyo nilikumbuka mimi japo najua watu
hawawezi kukumbuka hiyo kitu. Kwa hiyo nataka kusema kuwa
laana huwa inakuja hata kama ni baada ya miaka mingi kupita.

Could be a coincidence............... Mamndenyi
 
Last edited by a moderator:
Hyou bibi ana msongo wa mawazo..huwezi vua nguo kwa kudai kodi si atafute 'Majembe' wa Kenya wamsaidie kazi..!

Iza una uhakika kweli anahitaji jembekazi..................au siyo anataka chapaa yake tu?
 
Last edited by a moderator:
Bibi anachojua ni kuwa anayo nyumba
baada ya hapo anataka kodi,
majembe wa kazi gani hapo.

Mamndenyi uko sahihi kama anglikuwa nalipwa chapaa yake haya yote yangelitokea wapi?
 
Last edited by a moderator:
huyo bibi kajidhalilisha mwenyewe tu au alikuwa amejawa na minyege! ingekuwa kukaa uchi ni laana mbona sie tunaotembea na babu zetu tungekuwa vichaaa???!!! laana hadi imshike mtu inakuwa na hadithi ndefu si suala la mtu kujisikia tu kuvua nguo eti inaleta laana kwa mtazamaji khaaa mabibi wengine bwana.. huyo hana lolote alitaka kumshawishi kijana wa watu bure:angry:
 
Back
Top Bottom