Ukitolewa mtoko, changia hata kachumbari

Sula la mtu kujilipia matumizi yake sio jambo la kujadiliana, ni wajibu binafsi ambao kila mtu anatakiwa kuujua. Otherwise uambiwe kabisa njoo nitakulipia lakini usipoambiwa hata kama umepewa mualiko jua tu unawajibika kubeba bajeti yako utayoenda kuitumia.
 

Huo ndo uswahili sasa,

Kikao ukiite wewe, Meeying place uchague wewe, wahudumu uwaite wewe, nakauli zenu agiza chochote mama πŸ˜‚

Halafu kwenye bili una sikilizia kama mtoto wa kike atajigusa, Huo sio u gentlemen.

Ndo nyie harusi mnapanga nyie, budgeti mnapanga nyie, ila michango mnalazimisha kutoka kwetu.
 
Unaalika watu kuftur halafu unawaambia waje na sukari ya uji

Hawajamaa Jau sana, ndo hao wanalalamika utasikia mke hachangii chochote kwenye familia πŸ˜‚

Kama huna hela usialike watu kwenye mitoko yako, toka peke ako ili ujilipie bili yako mwenyewe.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…