Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,857
- 14,747
Hukujipanga mkuu kataa au kubali. Unapoamua kuingia kwenye ujenzi lazima uwe na balance ambayo itasaidia mambo kwenda. Ni afadhali uweke mahusiano mema na jamaa wa vifaa vya ujenzi kama umekwama wao kukupa vifaa ni rahisi. Wengi wanafanya hivyo na wanafanikiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
kuna vyuma vilitakiwa kuongezeka ghafla saiti,ambavyo havikuwa kwenye mahesabu;wakati huo mashine ziko saiti.
Sent using Jamii Forums mobile app