Ukitaka ukosane na rafiki omba akukopeshe fedha...

Ukitaka ukosane na rafiki omba akukopeshe fedha...

Kama mtu kagoma kukupa hela huna haja ya kulalamika. Na ni kigezo kwamba hakuamini. Ameshakaaa na wewe muda mrefu kukujua tabia zako. Ukitaka usaidiwe, inabidi ujenge mazingira ya kuaminika.
Mbaya zaidi nikikutana nao,wao ndio wanaona aibu
 
Upo sahihi mkuu, niliplay part kubwa mno had kufika stage ya bw, mdogo kuniomba nimkepeshe means niliishiwa kwa siku hiyo na ikabidi nijiazime kwa mshikaji wangu mwingine hata dogo alilijia hilo, lakn mm kule kwa jamaa yangu nilifanya juuchini nikarejesha pesa yake so deni likabaki kwa Mimi na dogo. Matokeo yake ndo yakawa hayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ulimsaidia kwenye ugonjwa mkuu ulifanya vizuri
 
Unakutana na RAFIKI YAKO.

Ktk stori,
Anajisifia kuwadhulumu tala na BRANCH kwa ushamba wao wa kumkopesha pesa bila dhamana.

Afu,
Siku unamwona anakuja kwako anataka umkopeshe Pesa.

UTAMKOPESHA mtu huyo AU utamchinjia baharini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Chinja huyo,watu tunakopeshwa Hadi laki 3 kwenye tigo nivushe.watu wanakupa pesa Kwa njia ya mtandao bila manyanyaso halafu unawaletea jeuri?
 
Marafiki ni washenzi sana nyie. Mkikopeshwa huwa mnavunja urafiki maana siku mlioahidi ikifika hamlipi na hamtaki kukumbushwa. Mtu akukopeshe ila hadi umlipe kashatumia vocha ya elfu 10 kukutafuta na urafiji ushayumba.
 
Marafiki ni washenzi sana nyie. Mkikopeshwa huwa mnavunja urafiki maana siku mlioahidi ikifika hamlipi na hamtaki kukumbushwa. Mtu akukopeshe ila hadi umlipe kashatumia vocha ya elfu 10 kukutafuta na urafiji ushayumba.
ha ha ha mkuu ulishawahi kukopa
 
Inategemea na rafiki,nilishawai kumkopesha rafiki yangu wa karibu laki moja,nikajua urafiki wetu ndio unaenda kuisha ila alinirudishia yte bila hata kumkumbusha.
Na ikumbukwe tulikuwa chuo sio kwamba tuna mishe zinazofanya tuone hizo ni hela ndogo.
NB:inategemea na rafiki.
 
Back
Top Bottom