Ukitaka ukosane na rafiki omba akukopeshe fedha...

Ukitaka ukosane na rafiki omba akukopeshe fedha...

Mimi kukopa kusema ukweli sijazoea,mara moja moja sana.....halafu mimi napenda mtu ukiniomba pesa ujiongeze ulipe mwenyewe bila kudaiwa,mambo ya kudai mtu na akili zake siwezi kabisa,naona kama nakudharirisha vile
Wanaojiongeza ni wachache sana
 
Into this life nina rafiki yng mmoja tu,, tunasaidiana sna kweny maswala ya fedha tulijengeana uaminifu sna ni Zaid ya undungu,,

Kanikopesha sna, nimemkopesha sna,, ata tunaposhidwa kulipa kwa wakati una uhakika jamaa ataweka mambo sawa ata kwa baadae ..

I appreciate this dude!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Natamani niwe na rafiki wa namna hii ila dah sina rafiki wa hivyo.

Niko ns frirnd yangu mmoja yupo kenya akinambia nimkopeshe 50000 basi dah jasho lanitoka mana pesa ndefu kidogo kikwetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sana,siku hizi mtu akiniomba namwambia tu sina,au kama ninayo nampa lakini nasaidia tu
Bora kumuambia huna inasaidia zaidi,sasa mtu anakuahidi nitakupatia muda fulani....baada ya kufika ule muda haonekani,ukipiga simu hapokei
 
Nadhani tatizo lipo kwenye marejesho. Unamkopesha rafiki kiroho sana lakini kwenye marejesho inakuwa ishu. Hapo umeomba kwa huruma kubwa lakini ungepewa ni lazima ungewazingua. Ndio maana jamaa wameamua kupotezea. Nilishafanya maamuzi sikopeshi hata iweje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo mtu hakuambii kama anazo ama hana...mbaya zaidi hapokei simu yako na alikuahidi.
Kakuonea noma kukuambia hana ilihali wewe ni mshkaji wake. Ila nadhani pia urafiki wenu sio kivile ila kuna vitu vinawaweka pamoja. Nina rafiki yangu tunapea pesa bila hata kujiuliza mara mbilimbili. Shida yake ni yangu na yangu ni yake. Changamoto zetu tunazijadili kwa kina. We are more than friends. Nadhani ninyi hamjafikia kiwango hicho. Wengine wanakuwaga ni opportunists.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani tatizo lipo kwenye marejesho. Unamkopesha rafiki kiroho sana lakini kwenye marejesho inakuwa ishu. Hapo umeomba kwa huruma kubwa lakini ungepewa ni lazima ungewazingua. Ndio maana jamaa wameamua kupotezea. Nilishafanya maamuzi sikopeshi hata iweje.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo yanabadilika mkuu,nawe ipo siku utahitaji kukopa;mfano umepata ugonjwa wa ajabu...na inahitajika 20M chap kwa ajili ya matibabu, utafanyaje kwa muda huo kama huna..
 
Unakopa hela ya ujenzi???
Sasa unaanzaje kujenga hujaweka bajeti,na ujenzi siyo lazima uishe siku moja tumia kiasi ulichonacho kikiisha simamisha ujenzi kusanya tena nguvu.Ujenzi siyo dharura.

kuna vyuma vilitakiwa kuongezeka ghafla saiti,ambavyo havikuwa kwenye mahesabu;wakati huo mashine ziko saiti.
 
Sio rafiki na ndugu tu, hata mchumba anaweza kukurudishia Pete yako!!
Ukitaka ukosane na rafiki omba akukopeshe fedha..
Siku mbili tatu zilizopita nilipata changamoto kidogo za kiuchumi,kutokana na mambo ya ujenzi....wajuzi wanasema zege hali lali,nikajishauri nikaona ngoja niombe fedha ya dharura kwa marafiki zangu.Majadiliano yakawa hivi:-
Mimi: mambo vipi mkuu?naomba unisaidie kiasi fulani cha dharura by alhamisi nitakurudishia hata kwa riba.
Rafiki 1: Sawa haina shida kaka nitakucheki baadaye
Baada ya hapo kimya,ukimpigia simu hapokei
Rafiki 2: Ok nitakupatia kesho
Kesho inafika kimya,ukimpigia simu hapokei
Rafiki 3: Siko vizuri kiuchumi,biashara zimesimama kaka
Bora huyu alikuwa muwazi na nilimuelewa
Rafiki 4 : Siko vizuri kaka,nitakupatia nusu yake
Mimi: Nashukuru nilikuwa naitaji full

Kutokana na hali hiyo,nilichoweza kujifunza ili usikosane na rafiki yako inabidi mahusiano yenu yasihusu mambo ya fedha.
 
Jamaa yangu baada kuajiriwa akaomba nimpe 50,000/=akute anajikimu kwa siku kadhaa huku akisubiri hela ya kujikimu,tangu mwaka juzi mpaka leo hata sms yangu kujibu ni shida,ni mishahara mingapi amepokea ila kukumbuka tu deni langu hela kidogo tu mtihani,tumesoma wote,sekondari shule moja darasa moja na chuo hivyohivyo lakini tumetenganishwa na fifty.Amenifanya nishindwe kuwaamini na marafiki wengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wewe unakosaje hela ya kula? Rudi kijijini usisumbue watu..

Sent using Jamii Forums mobile app
Unadhani siku zinafanana. Kabla sijaja chuo nilikuwa nakaa na laki nne, laki tano nazagaa nazo tu. Since nimeingia chuo mirija yote ya pesa nimefunga na kuna hela nilikuwa nayo lakini kuitoa bahati mbaya ikakwama ikabidi itoke ndani ya masaa 24. Siku hiyo hapa ghetto ndo nililipa bili zote za maji, umeme, ulinzi na usafi nikijua jioni nitatoa hela. Kutoa tiGo wakavuruga mambo nikalala njaa nikiwa na hela kwenye simu.
 
Mambo yanabadilika mkuu,nawe ipo siku utahitaji kukopa;mfano umepata ugonjwa wa ajabu...na inahitajika 20M chap kwa ajili ya matibabu, utafanyaje kwa muda huo kama huna..
Ndio maana nikasema kukwama kweli kupo. Na maisha ni kujipanga. Ingawa nilishasema katika maisha sipendi kutegemea mtu maana mwisho wa siku utaishia kulaumu. Kama ni ugonjwa nina hakikisha nina bima ya afya na kujiwekea akiba. Ninafanya kile kilicho ndani ya uwezo wangu. Ujenzi sio dharura kwamba kuna mtu atakufa. Bila shaka mahesabu yako hukuyapiga sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maisha hatufanani
Aliyekupa wewe ndo kamnyima yeye
Leo unacho kesho hauna .

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa namshangaa mwanaume anayestaajabu mtu kuishiwa. Kwa mimi ninavyofanya nikichukua hela flani nainvest sehemu nikitarajia marejesho. Sasa ikitokea dharura ya kutumia hela nyingi unakuta naishiwa, na ndivyo wanaume wengi wanavyoishi.
 
Ndio maana nikasema kukwama kweli kupo. Na maisha ni kujipanga. Ingawa nilishasema katika maisha sipendi kutegemea mtu maana mwisho wa siku utaishia kulaumu. Kama ni ugonjwa nina hakikisha nina bima ya afya na kujiwekea akiba. Ninafanya kile kilicho ndani ya uwezo wangu. Ujenzi sio dharura kwamba kuna mtu atakufa. Bila shaka mahesabu yako hukuyapiga sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu una uzoefu wowote kwenye kuweka slab
 
Sana,siku hizi mtu akiniomba namwambia tu sina,au kama ninayo nampa lakini nasaidia tu
Ila Mtoa mada post zake anaonekana kama msumbufu ana jazba kumdai mtu kama huyu anaweza kukutukana kabisa
Mimi mwenyewe kuna jamaa yangu nilimuazima pesa hivi karibuni ila naona siku zinazidi kwenda tu muda aliohaidi umepita naona kimya tu naona dalili za kulipwa kama zinafifi kwahiyo nawaza huyu mtu inakuwaje
 
Na wewe unakosaje hela ya kula? Rudi kijijini usisumbue watu..

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni haki yako kushangaa mtu kuishiwa. Kitonga boy
IMG_20200216_231811.jpg
 
Back
Top Bottom