Ukitaka ukosane na rafiki omba akukopeshe fedha...

Ukitaka ukosane na rafiki omba akukopeshe fedha...

Mosi, ujenzi sio dharula. Pili, usipigie mahesabu hela ya mtu, maana naona umeanza kusema hapo kwamba wana projects za 100M+.

Na mwisho kabisa, kumkopesha rafiki ni mtihani, labda hela ndogo ambayo hata ikipotea sio kesi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ni wanaahidi,ikifika ile siku hapokei simu,nadhani umenielewa
 
Don't expect anything from anyone maana mwisho wa siku utaishia kutoa lawama kumbe yeye alifanya kile alichoona kwake ni sawa.

Jiulize wewe umewah kutoa msaada kwake alipokwama? Au mtu ni rafki yako ila unamtafuta pale unapokua na shida ya hela tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na hapa ndio wengi tunafeli huo mstari wa mwisho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna namna ya kuwa na marafiki sahihi Maishani jamani marfaki sahihi wapo
Sema tu mleta mada hajui kama huyo jamaa ni sahihi au LA!

Ukiwa unajitoa kwa wengine na hasa kwa watu sahihi! Huwezi kukwama kwa jambo lolote

Kuna semina moja ilikuwa ikifanyika mahali , watu wa kamtolea mfano hayati Alli Mafuriki kwamba aliwahi kupiga simu NNE tu akapata mchango wa 200ml ndani ya 45dk.
Waakati wewe hapo unaweza kuitafta 10000 ya luku ya umeme umeisha usku
Na waskutumie kabisa kila unae mpigia anatoa sababu!!

Nilijifunza kwa Alli Mafuriki kupata 200m ndani ya dk45 ni kujitoa kwa watu sahihi na wewe shida ikikutokea wao wenyewe wanaimaliza.

Na huo ndio urafiki bora.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana kwenye sekta zingne mnasaidiana vzuri, maybe michongo ya kazi na mambo mengne au unaenjoy kampan yake.

Maana ukisema uvunje urafik na mtu kisa hajakusaidia hela bas utajikuta unavunja urafik na kila mtu maana weng wako hvyo.

Muhimu ukipata shida unapambana tu na hali yako, mtu akikusaidia unashkuru ukikosa wa kukusaidia nayo unasema poa tu
Kuna faida gani ya urafiki huo usio na msaada? Mimi naona tu auvunje!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana kwenye sekta zingne mnasaidiana vzuri, maybe michongo ya kazi na mambo mengne au unaenjoy kampan yake.

Maana ukisema uvunje urafik na mtu kisa hajakusaidia hela bas utajikuta unavunja urafik na kila mtu maana weng wako hvyo.

Muhimu ukipata shida unapambana tu na hali yako, mtu akikusaidia unashkuru ukikosa wa kukusaidia nayo unasema poa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Correct!
Mleta mada ajitambua sasa kujua rafiki ni yupi na Mtu anaye fahamiana nae nimtu wa aina gani kwake.
Hiyo itamsadia na atakuwa nao wote kama ulivyoelezea hapo juu.

Ni sahihi,ila ni marafiki tulioungana kutokana na mazingira ya kikazi wana kampuni zao nami na kampuni yangu;wakati mwingine niliweza kuwapatia link za kazi mbalimbali; uhusiano wetu uko katika hali hiyo.
 
Back
Top Bottom