The hitman
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 3,662
- 2,288
Shida pia wakopaji wagumu kulipa ,Kweli mkuu,nilijiuliza swali moja...ndio mtu uko mgonjwa mahututi na inahitajika fedha ya dharura kutoka kwa mtu wa karibu unayemuamini...hapo si ndio itakuwa shida zaidi.