Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,623


jamani, siku hazifanani eti. Unaweza kupambana siku nzima ukatoka patupuSent using Jamii Forums mobile app


jamani, siku hazifanani eti. Unaweza kupambana siku nzima ukatoka patupuNami nilijiongeza mkuuSasa asipopokea simu si unabidi ujiongeze.. Si kila mtu anaweza sema ukweli au kuanza kujitetea?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hujawahi kupata dharura au kitu kinachoitwa 'variation' kwenye mambo ya ujenzi; isitoshe wao ni watu niliowaamini wenye mitaji mikubwa 100M+Watu wa namna hii ni wa ajabu kweli.. Badala ya kujilaumu yeye analaumu marafiki! Yeye aliyekuwa na taharifa ya ujenzi kashindwa kupata pesa sembuse hao aliowakurupusha??
Alafu kuna watu wana tabia ya kukariri kwamba fulan ana hela, wakati muda mwingine uhalisia ni tofauti kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu,cha muhimu hakuna kukata tamaaMaisha hatufanani
Aliyekupa wewe ndo kamnyima yeye
Leo unacho kesho hauna .
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ni kwa nini atoe ahadi ambayo si ya kweliWatu wengi hawawa amini watu wanaokuja na shida ya wiki au mwezi.
Wanaomba kwa adabu na kwa ahadi kibao.
Ebwana eeeeh muda wa kulipa hawaonekani halafu hata kusema wameshindwa hawasemi, hata kutoa angalau ahadi hewa nyingine huo muda hawana!
Imefanya kuonekana kama wanao omba hela wote wako hivyo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Una degree ngapi mkuu?Mkikopeshwa hamlioi unataka nani akukopese. Pumba** wewe
God save us
Wapo wa namna hiyo,wasiokuwa waelewa.Mkuu , jamaa saizi hapokei wala hujibu SMS zangu.
Nikikuwekea hapa screenshot ya meseji za kilio chake, alivyokua analia huo usiku wa maneno mpaka nkaamua kumvutia mkwanja.
Leo Leo amechagua tuvunje urafiki kisa pesa nayomdai.
Kwa upande wangu wao wamenufaika sanaDon't expect anything from anyone maana mwisho wa siku utaishia kutoa lawama kumbe yeye alifanya kile alichoona kwake ni sawa.
Jiulize wewe umewah kutoa msaada kwake alipokwama? Au mtu ni rafki yako ila unamtafuta pale unapokua na shida ya hela tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa upande wangu wao wamenufaika sana
Inasaidia sanaInto this life nina rafiki yng mmoja tu,, tunasaidiana sna kweny maswala ya fedha tulijengeana uaminifu sna ni Zaid ya undungu,,
Kanikopesha sna, nimemkopesha sna,, ata tunaposhidwa kulipa kwa wakati una uhakika jamaa ataweka mambo sawa ata kwa baadae ..
I appreciate this dude!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Marafiki ni wakunywa bia tuu lakini ikija suala la maana ni 0.01 percent ndio watakusaidia.Ukitaka ukosane na rafiki omba akukopeshe fedha..
Siku mbili tatu zilizopita nilipata changamoto kidogo za kiuchumi,kutokana na mambo ya ujenzi....wajuzi wanasema zege hali lali,nikajishauri nikaona ngoja niombe fedha ya dharura kwa marafiki zangu.Majadiliano yakawa hivi:-
Mimi: mambo vipi mkuu?naomba unisaidie kiasi fulani cha dharura by alhamisi nitakurudishia hata kwa riba.
Rafiki 1: Sawa haina shida kaka nitakucheki baadaye
Baada ya hapo kimya,ukimpigia simu hapokei
Rafiki 2: Ok nitakupatia kesho
Kesho inafika kimya,ukimpigia simu hapokei
Rafiki 3: Siko vizuri kiuchumi,biashara zimesimama kaka
Bora huyu alikuwa muwazi na nilimuelewa
Rafiki 4 : Siko vizuri kaka,nitakupatia nusu yake
Mimi: Nashukuru nilikuwa naitaji full
Kutokana na hali hiyo,nilichoweza kujifunza ili usikosane na rafiki yako inabidi mahusiano yenu yasihusu mambo ya fedha.
Hii nzuri, i have this kind of a friend pia na tunaaminiana vzuri so hata nikikwama sisumbui watu wengine. Kuaminiana kwenye maswala ya hela saiv ni ngumu sanaInto this life nina rafiki yng mmoja tu,, tunasaidiana sna kweny maswala ya fedha tulijengeana uaminifu sna ni Zaid ya undungu,,
Kanikopesha sna, nimemkopesha sna,, ata tunaposhidwa kulipa kwa wakati una uhakika jamaa ataweka mambo sawa ata kwa baadae ..
I appreciate this dude!!
Sent using Jamii Forums mobile app