Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,347
- 56,072
- Thread starter
- #61
Nilichogundua labda ni ile hali ya kujikweza,anaona aibu kusema kwa sasa siko vizuri
Nilichogundua labda ni ile hali ya kujikweza,anaona aibu kusema kwa sasa siko vizuri
Cha muhimu ni kuangalia mtu unayemkopesha ana asset zipi,nadhani hii pia itapunguza risk ya fedha kupotea
Ha ha ha ha pole sana mkuuTatizo mkikopeshwa hamrudishi,.Bora kuwakazia tu..mi nna mtu namdai laki na 30 tangu mwaka Jana mwez wa tatu had leo hajarudisha hata Mia...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu,huu nao ni mtihaniKuna watu wana ugonjwa was kusahau! Mtu anapata hela kila siku anafanya matumizi mengine lakini hawezi kukumbuki ihsani ambayo alifanyiwa na jamaa yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Hana msaada na wewe,labda alitaka ufe mkuuJumatatu nilikosa hela hata ya kula nikampigia rafiki yangu yuko mkoani anisaidie akapokea na akadai ananipa kesho maana ilikuwa jioni. Usiku nikalala njaa kisha kesho nampigia hapokei. Nikapiga mara kibao na hata jana hapokei wakati shida ya hela ishaisha. Sahivi nafuta namba.
May beNilichogundua labda ni ile hali ya kujikweza,anaona aibu kusema kwa sasa siko vizuri
Kabisa mi nimepoteza rafiki na hela ,nlimkopesha hadi Leo kaingia mitini na namba kabadili
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni bora mtu akuambie sina,kuliko kukupa matumaini..baadaye ukimpigia simu,hapokei.
Tatizo linatokea pale amekuahidi na baadaye kurelax bila kwenda kuomba kwingine ukiamini utapata,mbaya zaidi mahitaji yalikuwa yanaendana na mudaWakati mwingine ukiona hali hii ujue huyo mtu hana sio lazima Mpaka akuambie Sina. Kuna watu hawawezi kusema Sina wanaamuaga kukaa kimya
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini umhukumu mtu kabla hata halijatokea?Tatizo lenu hamlipi.Mnajifanya wapole sana muda wa kukopa.Time ya kurejesha mnakimbia.
Inawezekana ikawa sababu mkuu,lakini si bora mtu akuambie ukweli...kuliko kukupa matumaini,baadaye ukimpigia simu muda aliokuahidi...hapokei simu.
Khantwe.
Ulimwaga jamvi bila mahesabu kamili....halafu unatoa lawama kwa marafiki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jumatatu nilikosa hela hata ya kula nikampigia rafiki yangu yuko mkoani anisaidie akapokea na akadai ananipa kesho maana ilikuwa jioni. Usiku nikalala njaa kisha kesho nampigia hapokei. Nikapiga mara kibao na hata jana hapokei wakati shida ya hela ishaisha. Sahivi nafuta namba.
Hahaa,afanye kazi aache kulia lia.