DJkus
JF-Expert Member
- Nov 9, 2018
- 354
- 470
Bora unafiki kuliko kusumbuana baadaye tena kwa hela yangu aroo!Huu ni uswahili ambao huwa sipendi maishani. Mtu mnafiki unamuitaje rafiki? Yani ukubali kunisaidia afu badae uzime simu! Ni kwamba unaogopa kunisaidia sikatai sasa kwanini unikwamishe kunipa ahadi hewa. Ukiona huwezi unasema dhahiri ili nitafute njia nyingine. Kukaa kimya ni tafsiri ya kunionea wivu na kutopenda nifanikiwe. Na ndo mwisho wa urafiki wetu.
Aliyegongwa nyoka kila apitapo eneo hilo huwa makini na jani likimgusa tu lazima aruke

Watu wameacha uungwana na hasa hupotea baada ya kukopa, mifano mingi sana!
Kwa nn tugombane tena na hela yangu!?
Wanasema mtu akikusaidia jua kwamba anao ndugu zake amewaacha na shida zao akakuthamini wewe just a friend!
Nisipozima mie muda wako utazima yako, why¿¿?
Take your time baby

Sent using Jamii Forums mobile app


