Ukitaka ukosane na rafiki omba akukopeshe fedha...

Ukitaka ukosane na rafiki omba akukopeshe fedha...

Equation x, Usimkope rafiki yako mwambie naomba kiasi fulani sio kwa mkopo.

Na wala usimkopeshe rafiki yako inabidi umpe tu usimdai na kama huna sema huna.

Na hata Ndugu akikuomba umkopeshe muambie sina hela labda nikupe kiasi kidogo ufabye na mipango mingine upate kujazilia.

Na hata wewe ndugu Muombe hela usimkope.
Mimi kama unanikopa unaniambia utanirudishia kesho si bora usubiri hiyo kesho tu utumie pesa yako.omba bwana.

Sasa mfano wewe mtoa mada sijui kwa nini hukusubiri hiyo alhamisi tu ukatumia pesa yako.

Mkopo wa uhakika uende kwa watu ambao wapo kwa ajili ya kutoa huduma hiyo.
Saikolojia zetu sisi watu hatupendi kuombwa Mungu ndo hupenda watu wakimuomba.kwa hyo hakuna mtu atafurahi ukienda kumuomba kitu.

Fuata hii principle kisha rudi hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimejifunza kitu kikubwa Sana kutoka kwako,Mimi nalizwa sana na ndugu na marafiki halafu mimi nikikopa kwao Wala siwasumbui, mwaka huu nimeamua sikopeshi nng'oo bora nionekane mbaya kuliko kuonekana mwema halafu nadhulumiwa kila siku,Kuna huyu mmoja baada ya kunidhulumu na kuonyesha dharau nimemua kufuta hata namba yake,na nina mpango nikamwambie hata shangazi yake(mama yangu) udugu na mtoto wa Kaka yake umekwisha.

Watakuwa wamekosa ustaarabu mkuu
 
Hapana mkuu undugu usife.cheka nae kula nae n.k
Ila akija kukukopa muambie kuwa hauko vizuri au mwambie kuna jambo umelifanya.

Njia ya kuepuka kudai ni kuepuka kukopesha.
Nimejifunza kitu kikubwa Sana kutoka kwako,Mimi nalizwa sana na ndugu na marafiki halafu mimi nikikopa kwao Wala siwasumbui, mwaka huu nimeamua sikopeshi nng'oo bora nionekane mbaya kuliko kuonekana mwema halafu nadhulumiwa kila siku,Kuna huyu mmoja baada ya kunidhulumu na kuonyesha dharau nimemua kufuta hata namba yake,na nina mpango nikamwambie hata shangazi yake(mama yangu) udugu na mtoto wa Kaka yake umekwisha.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwani hujui Jamii Forum ni ikulu ndogo. Mimi nimecomment kuhusu nilivonyimwa mkopo jamaa flani akafyatuka kudai nirudi kulima. Kucheki uzi wake anauliza connection ya watoto wa kishua akalelewe. Sasa sijui kati ya anayekopa na marioo nani ana njaa.
Teh teh[emoji16][emoji16][emoji1787]marioo oyee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi:Inakuaje kiongozi uko poa?
Rafiki:Fresh mwanangu,niambie kaka.
Mimi:Vipi michakato?
Rafiki:dah michakato iko poa mambo yako vizuri.
Mimi:aisee na hali hii kaka?
Rafiki:kaka pesa ukiitafuta mbona itakufuata,now mtaji umekua si unaona mwenyewe.
Mimi😛oa kaka hongera na jambo la kumshukuru Mungu,sasa Mkuu nimekwama hapa na huu mguu wako ,nina shida na elfu 10 hebu naomba unisaidie kesho kutwa jioni nitakupa sina hata mia ukicheki familia inahitaji kula.
Rafiki:Aisee pole sana ndugu yangu najisikia vibaya sana ,sasa umechelewa kidogo yaani nimetoa sasa hivi laki 8 kununua mzigo hapa nimebakiwa na elfu 5 kama nauli ila usijali kuna mtu hapa analeta pesa yangu laki 4 saa 11 jioni kama vipi pitia.
Mimi:sawa kaka nitashukuru

Saa 11 jioni

Mimi:Kaka umeshindaje?
Rafiki😀ah acha tu ndugu yangu.
Mimi:kuna usalama kweli?
Rafiki😀ah utoke wapi si unakumbuka nilikuambia kuna mtu ana pesa yangu laki 4 ana ileta leo ndo nikakwambia uje?
Mimi:Ndio nakumbuka kaka
Rafiki:Sasa yule mtu kafariki dah roho inaniuma kweli peaa yangu nishaikosa na hapa biashara leo ngumu sijui itakuaje ndugu yangu nilitamani kukusaidia ila nimekwama pia.

Hapo giza lishaingia ushafeli huna pa kwenda maana alikupa matumaini ukaweka kwake hukutaka kutafuta kwingine.

Watu wa namna hii ni hovyo sana mfano hai wiki mbili zilizopita tulikua na kikao cha harusi sista anataka kuolewa february 23 tukakubaliana tufanye sherehe ndogo kila mtu atoe laki moja,lakini Kaka yetu wa pili akagoma akasema tutoe laki mbili kila mmoja tulimgomea kwa kua uchumi mgumu lakini akashinda kwa kua aliungwa mkono na mama .Leo ndo siku ya kuwasilisha mchango tangu jana kazima simu zote hapatikani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aliahidi kitu kisichotekelezeka tena kwa mbwembwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani kuna msiba mtu kafariki. Anayedaiwa.

Halafu badala ya kusikitika msiba mtu kafariki, mdai anasikitika mtu kafariki kabla ya kulipa laki nne!

Vyuma vinabana mpaka thamani ya maisha ya mtu haizidi shilingi laki nne.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
If you're past 25 years you should know by now, Friendship is overrated! Humans are selfish instinctively and don't expect people to help you out.​

For example, you can't really expect a friend to risk his family or children's welfare to bail you out of some problems. I wouldn't be mad if some of my friends don't help me out because I don't expect it.

As a man, it's better to prioritize self-reliance. At least you know if you have some property or hidden cash somewhere, you won't be disappointed if you rely on friends to help you out financially.​
 
Hapa naona watu mnazunguka tu mnashindwa kuusema ukweli.

Tatizo kuu ni UMASiIKINI, wala tusibuz buz hapo. Sasakama mtu unauomba elfu 10 ya kula akakubali atakutumia kesho halafu asipokee simu, ni Umasikini tu.
 
Ndo maana na mm nkamwambia atakua Ana tatizo kwny ulipaji huyu.

Huenda akiazimwa zile ela ndogo ndogo Kama buku, buku 2 huwa harudishi.

Sasa inapotokea anahitaji Pakubwa,

WATU WANAKUNA VICHWA

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuu. Kunywa wote au kuwa na mitaji mikubwa haiweki guarantee ya kukopeshwa. Nina mshkaji wangu nikimwambia tu nina shida hata kama hana atakopa ili nitatue changamoto yangu. Huyu jamaa hata maandishi yake yana dharau.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakutana na RAFIKI YAKO.

Ktk stori,
Anajisifia kuwadhulumu tala na BRANCH kwa ushamba wao wa kumkopesha pesa bila dhamana.

Afu,
Siku unamwona anakuja kwako anataka umkopeshe Pesa.

UTAMKOPESHA mtu huyo AU utamchinjia baharini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Chukulia mfano loan board watu wangapi wanadaiwa na wanadai hatulipi. Nikwenda mwenyewe nimelipa hadi mwaka jana nikamaliza. Now I'm free. Kila kitu kinahitaji nidhamu mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao ni Wanafiki na sio Marafiki.Binadamu asiyejua kuna kupata na kukosa huyo ni hayawani.
Ukitaka ukosane na rafiki omba akukopeshe fedha.

Siku mbili tatu zilizopita nilipata changamoto kidogo za kiuchumi kutokana na mambo ya ujenzi, wajuzi wanasema zege halilali.

Nikajishauri nikaona ngoja niombe fedha ya dharura kwa marafiki zangu. Majadiliano yakawa hivi:-

Mimi: Mambo vipi mkuu? Naomba unisaidie kiasi fulani cha dharura by Alhamisi nitakurudishia hata kwa riba.
Rafiki 1: Sawa haina shida kaka nitakucheki baadaye
Baada ya hapo kimya, ukimpigia simu hapokei.

Rafiki 2: Ok nitakupatia kesho
Kesho inafika kimya, ukimpigia simu hapokei

Rafiki 3: Siko vizuri kiuchumi, biashara zimesimama kaka
Bora huyu alikuwa muwazi na nilimuelewa

Rafiki 4 : Siko vizuri kaka, nitakupatia nusu yake
Mimi: Nashukuru nilikuwa naitaji full

Kutokana na hali hiyo, nilichoweza kujifunza ili usikosane na rafiki yako inabidi mahusiano yenu yasihusu mambo ya fedha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ulivosema ni sahihi kabisa, nibora mtu umpe tu siyo kumkopesha,

Mimi kuna bwana mdogo aliuguliwa na mkewake, mke akalazwa no matibabu bila hela na yeye kipindi hicho mambo yake yalikuwa magumu, basi akaja kwangu broo kama unakiasi fulani niazime shemeji yako kalazwa sina namna kwa sasa, basi nikajichanga akiniahid baada ya shemu kupona atanirejeshea, aiseee hadi kesho sijapewa hiyo hela Shem alishapona zaman tu na wanafanya miradi yao fresh tu lakin nikiomba pesa yangu sababu zinakuwa nyingi tu, mwishowe nimeshawaangalia tu siwadai tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ubahili sio mzuri mkuu,siku mambo yakikugeukia utakosa pa kukimbilia
Sio ubahili mkuu,
Tunatakiwa tujifunze Kuishi ya kujitegemea Kwny mambo ya fedha.

Hizi habar za "utakosa pa kukimbilia" zinalemaza Sana akili.

Mda wote mtu anajihisi Kama Ana bima ya PESA.

Anajua Hata akiyumba atakopa kwa flani.

Kumbe haitakiwi kua hivo,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli mkuu. Kunywa wote au kuwa na mitaji mikubwa haiweki guarantee ya kukopeshwa. Nina mshkaji wangu nikimwambia tu nina shida hata kama hana atakopa ili nitatue changamoto yangu. Huyu jamaa hata maandishi yake yana dharau.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa Mjini Kila pesa ina bajeti yake.

Mtu kua na Asset za million 500+ haiwezi kua guarantee ya lazima kukukopesha wewe laki moja.

Hata kwny mabenki Ni hivo hivo,
Unaweza kua na ASSET yenye thamani ya mil.50, na Bado ukanyimwa mkopo wa mil.10.

Ni kawaida Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ulivosema ni sahihi kabisa, nibora mtu umpe tu siyo kumkopesha,

Mimi kuna bwana mdogo aliuguliwa na mkewake, mke akalazwa no matibabu bila hela na yeye kipindi hicho mambo yake yalikuwa magumu, basi akaja kwangu broo kama unakiasi fulani niazime shemeji yako kalazwa sina namna kwa sasa, basi nikajichanga akiniahid baada ya shemu kupona atanirejeshea, aiseee hadi kesho sijapewa hiyo hela Shem alishapona zaman tu na wanafanya miradi yao fresh tu lakin nikiomba pesa yangu sababu zinakuwa nyingi tu, mwishowe nimeshawaangalia tu siwadai tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye ugonjwa mkuu saidia kama uwezo opo,usikopeshe huwezi jua na wewe ukipata tatizo la namna hiyo nani atakuwa mtetezi wako.
 
Watu wengine wanakopa kiasi kidogo lakini kwenye kulipa wana kimbia na kukukwepa asee.
 
Kama mtu kagoma kukupa hela huna haja ya kulalamika. Na ni kigezo kwamba hakuamini. Ameshakaaa na wewe muda mrefu kukujua tabia zako. Ukitaka usaidiwe, inabidi ujenge mazingira ya kuaminika.
 
Kwenye ugonjwa mkuu saidia kama uwezo opo,usikopeshe huwezi jua na wewe ukipata tatizo la namna hiyo nani atakuwa mtetezi wako.
Upo sahihi mkuu, niliplay part kubwa mno had kufika stage ya bw, mdogo kuniomba nimkepeshe means niliishiwa kwa siku hiyo na ikabidi nijiazime kwa mshikaji wangu mwingine hata dogo alilijia hilo, lakn mm kule kwa jamaa yangu nilifanya juuchini nikarejesha pesa yake so deni likabaki kwa Mimi na dogo. Matokeo yake ndo yakawa hayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom