kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 12,328
- 12,625
Demokrasia imeshindwa kukuza uchumi duniani kote.
Hivyo kama tunataka uchumi wetu ukue silaha kubwa ni:
1. Kulipa kodi hata ikibidi kwa nguvu.
2. Kuondoa huduma za bure kwa watu wote. Hii italazimisha watu wafanyekazi kwa bidii
3. Kuondoa chakula cha njaa, watu wakifa njaa msimu mmoja msimu utakaofuata watalima hata mazao ya njaa.
4. Kufunga gerezani na kunyonga wahalifu, wala rushwa, wakwepa kodi na wahujumu uchumi.
5. kuacha kupangiana bei za bidhaa, wacha nguvu ya soko ifanyekazi.
6. Kutafuta na Kuimarisha masoko ya ndani na nje
7. Kusimamia uzalishaji na ubora wa huduma na bidhaa
8. Kutanua wigo wa kodi, ikibidi tutoze kodi hata wanaosinsia bungeni, kazini, na kwenye mikutano. Tutoze kodi kwenye ardhi zote zinazoshikiliwa na taasisi za kidini na kazi zao zote.
9. kuimarisha sekta ya mahakama, utawala wa sheria.
10. Kupambana na wasaliti na vibaraka
Dunia inakoelekea ni DO or DIE