Popote pale alimradi anakidhi vigezo vyako vya "mchumba mzuri".
JF ndo penyewe.Hiv mchumba mzur ni yule unampata kutoka
sehem gn?
1.Shuleni
2.Njian
3. Ofisin
4.Ndani ya basi /meli/ndege
5.Msibani
6.Aliyekosea namba ya simu
7-Kanisani/sehemu za ibada
8-Wa facebook /twitter/ jf
9-Harusin/Sherehe
10-....kwingneko
Shuleni ndyo mambo yote,kwani mnapata fursa ya kusomana vizuri.