Sosthenes Maendeleo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 2,743
- 1,736
Kweli nimejionea.
batani ya laiki iko wapi?
Lakini kumbuka sisi ndio wachangiaji wa kuzitoa pia, pasipo wao tungeteseka sana na ukitegemea mke wa mtu ni SUMUUkweli mchungu kama "ke" hajaolewa/hajawahi kuolewa lakini ameshatolewa bikra ni aibu.
Kwahiyo ni fahari kwa mwanaume ambaye hajaoa kuzini? au dini yako inaruhusu zinaa?Ukweli mchungu kama "ke" hajaolewa/hajawahi kuolewa lakini ameshatolewa bikra ni aibu.
Mbona wanaume wanaoa wanawake ambao tayari wameshazalishwa na mwanaume mwingine? what is ur point here?Swali gani hili?kwani we ulijitoa na vijiti au ilitolewa na nini?Anyway jinsia ya kike wanajirahisisha sana kuwa na msimamo uolewe na bikra yako.
Watu humu wametolewa bikra tangu wakiwa darasa la pili,unadhani watafurahia story hzo?
Kinachowasumbuwa humu wavulana wengi hamjui kwamba msichana anaweza asiwe bikra na hajawahi kukutana na mwanaume na pia mwanamke anaweza kupata mimba bila kuingiliwa na mwanaume wala kupandikizwa mbegu, ukiondoa utoto utavielewa hivi vitu very simple.Matola si fahari mwanaume asiyeoa kuzini,wala dini yangu hairuhusu zinaa ndomana nikasema ni aibu ila nimemtaja mwanamke kwani ndiye aliyetajwa hapa hata kwa uelewa wangu mdogo kipimo cha kujua ke" alikuwa mzinifu kabla ya ndoa ni bikra yake,so kama kuna cha mwanaume nieleweshwe pia.Mwanamke yeyote ana haki ya kuolewa ila ni vizuri zaidi kama hakuwa mzinifu,kama mtoto alipatikana ndani ya ndoa akaachika ni sawa kuolewa tena,na hata kama alikuwa mtoto wa zinaa pia na aolewe tu.kutokuwa na bikra si kigezo cha kukosa ndoa ila ingekuwa bora zaidi kama angejitunza kwa ajili ya atakayemuoa.