miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,109
aibu ni nini? na kama siyo ke" kukupa bikra yake uitoboe unadhani ungepiga wapi mzigo ,....Ukweli mchungu kama "ke" hajaolewa/hajawahi kuolewa lakini ameshatolewa bikra ni aibu.
aibu ni nini? na kama siyo ke" kukupa bikra yake uitoboe unadhani ungepiga wapi mzigo ,....Ukweli mchungu kama "ke" hajaolewa/hajawahi kuolewa lakini ameshatolewa bikra ni aibu.
aibu ni nini? na kama siyo ke" kukupa bikra yake uitoboe unadhani ungepiga wapi mzigo ,....
hua nashangaa humu ndani matusi yanakua mengi sana mtu akizungumzia swala ubikra.
Je, ni kosa?
Je, tamaduni zetu haziruhusu kuzungumzia?
Niwekeni sawa ili tuacha kabsa kuzungumzia maswala ya ubikra.
Source: Comment za thread nyingi humu MMU( jaribuni kuhakikisha.
kumbe na inakaaga hapo kwa mda gani?
bikira ndiyo nini???? (in joti's voice)
Sasa mbona unalalamika tena wakati unapewa hoja tena hoja nzito, kwani na wewe ni bikra?
Mimi nalizungumzia tuone ni nani ayanitukana.
Mama wa Yesu alikuwa ni bikra
aibu ni nini? na kama siyo ke" kukupa bikra yake uitoboe unadhani ungepiga wapi mzigo ,....
Hahaha sasa hapo umemuuliza au ndio umempa tusi