Ukitaka maneno MMU, zungumzia swala la Bikra

Makaura

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
892
Reaction score
295
Hua nashangaa humu ndani matusi yanakua mengi sana mtu akizungumzia swala ubikra.
Je, ni kosa?

Je, tamaduni zetu haziruhusu kuzungumzia?

Niwekeni sawa ili tuacha kabsa kuzungumzia maswala ya ubikra.

Chanzo: Comment za thread nyingi humu MMU

Jaribuni kuhakikisha.
 
Hahaha sasa hapo umemuuliza au ndio umempa tusi
 
Unajuwa humu mmu pia kuna mama za watu usidhani huu ni mtandao wa wavulana kama wewe tu, sasa utakapoulizwa je mama yako mzazi anayo bikira? usije kuanza kulialia.

ndugu yangu Matola matusi ya nini? umeelewa kweli mantiki ya topic yangu??
 
Last edited by a moderator:
Kwani bikira ni matusi? au mama yako ni bikira?

anyway ngoja nikuache maana topic yenyewe ilikua inalalamikia haya haya unayofanya muda huu Matola
 
Last edited by a moderator:
hua nashangaa humu ndani matusi yanakua mengi sana mtu akizungumzia swala ubikra.
Je, ni kosa?
Je, tamaduni zetu haziruhusu kuzungumzia?
Niwekeni sawa ili tuacha kabsa kuzungumzia maswala ya ubikra.
Source: Comment za thread nyingi humu MMU( jaribuni kuhakikisha.

kulikuwa na ulazima gani wa kuanzisha thread sasa...kwanini usingeuliza hayo maswali yako na kutoa mtazamo wako kwenye hizohizo threads!
Matusi mnayatafutaga wenyewe,oftentimes!
 
anyway ngoja nikuache maana topic yenyewe ilikua inalalamikia haya haya unayofanya muda huu Matola

Sasa mbona unalalamika tena wakati unapewa hoja tena hoja nzito, kwani na wewe ni bikra?
 
Last edited by a moderator:
Una weza ukawa wa kwanza alafu ukaanza kugongewa baada ya hapo. Bikra si nembo ya ubora kutoka TBS au ISO.
 
hua nashangaa humu ndani matusi yanakua mengi sana mtu akizungumzia swala ubikra.
Je, ni kosa?
Je, tamaduni zetu haziruhusu kuzungumzia?
Niwekeni sawa ili tuacha kabsa kuzungumzia maswala ya ubikra.
Source: Comment za thread nyingi humu MMU( jaribuni kuhakikisha.

Jibu la swali lako angalia tena comments za wanaokujibu.
 
hua nashangaa humu ndani matusi yanakua mengi sana mtu akizungumzia swala ubikra.
Je, ni kosa?
Je, tamaduni zetu haziruhusu kuzungumzia?
Niwekeni sawa ili tuacha kabsa kuzungumzia maswala ya ubikra.
Source: Comment za thread nyingi humu MMU( jaribuni kuhakikisha.

Samahani Wewe una Bikra? Ili tuende sawa.
 
Back
Top Bottom