Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,363
- 139,165
12. Usioe nwanamke anatumia JFDuniani Hutaambiwa kila kitu ila Ishi Humu itakusaidia
1.Usioe Mwanamke aliewahi Kuwa na Mahusiano na Wanaume zaidi ya wawili
2.Usioe Mwanamke anaetumia Tiktok au Snapchat
3.Usioe Mwanamke Single mother ambae baba wa mtoto wake yuko hai na akikuambia amekufa ukathibitishe Kabisa kwenye kaburi lake Kama Ni kweri
4.Usioe kwenye ukoo Ambao Huwezi kufaidika Chochote au ukoo utakao kuwa msaada kwao 100% utazitafuta hatua kwa Jasho na maumivu Mwanamke hatowaza ndoa Kipambaule kitakua Ni kwao
5.Usioe Mwanamke mweupe au mwenye wowow kubwa 99.9% Hua Hawapo sawa kichwani Kiufupi Ni vilaza
6.Usioe Mwanamke anaecheza upatu na vikoba
7.Usioe Mwanamke anaetaka kujua Kipato CHAKO/akiba yako yote unaitumiaje.
8.Usioe Mwanamke anaeshika dawa za kienyeji
9.Usioe Mwanamke asietaka kupitwa na kitu na anaependa mashindano
10.Usioe Mwanamke anaevaa miwani expt awe na matatizo ya macho
11.Usioe mwanamke mwenye nyimbo za singeli na amapiano kwenye simu yake.
Aaahah Kiongozi Mimi nimesogea sogea nakimbilia 30 huko umesogeza Mbali😂😂😂Kijana mdogo kabisa , rika na kijana wangu anatufokea na kutupangia namna ya kuoa😅
😂😂😂 Malaika Hawapo dunianiInshort oa malaika
Sijiungi tiktok mpaka nife mtandao wa watoto wewe utakua below 22/23 ndio mtandao wenu sisi watu wa above 40 hatuwezi kukaa huko hata kwa bureTiktok haina shida na katika mtandao wenye solutions za mambo tofauti tofauti tena kwa videos ni tiktok
Hadi sasa tofauti na JF utanikuta tiktok
Hapo kwenye namba 1 na namba 10 kuna ukakasi.Duniani Hutaambiwa kila kitu ila Ishi Humu itakusaidia
1.Usioe Mwanamke aliewahi Kuwa na Mahusiano na Wanaume zaidi ya wawili
2.Usioe Mwanamke anaetumia Tiktok au Snapchat
3.Usioe Mwanamke Single mother ambae baba wa mtoto wake yuko hai na akikuambia amekufa ukathibitishe Kabisa kwenye kaburi lake Kama Ni kweri
4.Usioe kwenye ukoo Ambao Huwezi kufaidika Chochote au ukoo utakao kuwa msaada kwao 100% utazitafuta hatua kwa Jasho na maumivu Mwanamke hatowaza ndoa Kipambaule kitakua Ni kwao
5.Usioe Mwanamke mweupe au mwenye wowow kubwa 99.9% Hua Hawapo sawa kichwani Kiufupi Ni vilaza
6.Usioe Mwanamke anaecheza upatu na vikoba
7.Usioe Mwanamke anaetaka kujua Kipato CHAKO/akiba yako yote unaitumiaje.
8.Usioe Mwanamke anaeshika dawa za kienyeji
9.Usioe Mwanamke asietaka kupitwa na kitu na anaependa mashindano
10.Usioe Mwanamke anaevaa miwani expt awe na matatizo ya macho
11.Usioe mwanamke mwenye nyimbo za singeli na amapiano kwenye simu yake.
Acha tu dear Shyshka ReinhardtUmepatwa na nini madam, huu ukimya haukufai😊
Shogareeee nimekumiss sana pia 💕💕💕Acha tu dear Shyshka Reinhardt
Teuzi hizi zinaleta ukimya sana
Ila soon narejea.
Nimewamiss sana watu wangu na shouga yangu kipenzi Binti wa zamani ❤️❤️❤️
12. Usioe mwanamke mwenye IQ ndogo. Watoto kwa asilimia kubwa hurithi uelewa kutoka kwa mama.Duniani Hutaambiwa kila kitu ila Ishi Humu itakusaidia
1.Usioe Mwanamke aliewahi Kuwa na Mahusiano na Wanaume zaidi ya wawili
2.Usioe Mwanamke anaetumia Tiktok au Snapchat
3.Usioe Mwanamke Single mother ambae baba wa mtoto wake yuko hai na akikuambia amekufa ukathibitishe Kabisa kwenye kaburi lake Kama Ni kweri
4.Usioe kwenye ukoo Ambao Huwezi kufaidika Chochote au ukoo utakao kuwa msaada kwao 100% utazitafuta hatua kwa Jasho na maumivu Mwanamke hatowaza ndoa Kipambaule kitakua Ni kwao
5.Usioe Mwanamke mweupe au mwenye wowow kubwa 99.9% Hua Hawapo sawa kichwani Kiufupi Ni vilaza
6.Usioe Mwanamke anaecheza upatu na vikoba
7.Usioe Mwanamke anaetaka kujua Kipato CHAKO/akiba yako yote unaitumiaje.
8.Usioe Mwanamke anaeshika dawa za kienyeji
9.Usioe Mwanamke asietaka kupitwa na kitu na anaependa mashindano
10.Usioe Mwanamke anaevaa miwani expt awe na matatizo ya macho
11.Usioe mwanamke mwenye nyimbo za singeli na amapiano kwenye simu yake.
Mimi pia mwaya.Shogareeee nimekumiss sana pia 💕💕💕
Kumwaga kojo lazima 💦 ila haya maneno huwa nasema nikiwa nimenyegeka haswa, kwa sasa kichwa kiko sawa, joto halijapanda 🤣🤣🤣🤣Mimi pia mwaya.
Nakumbuka usemi wako pendwa, hata ukiwa na mawazo vipi, wanawake tusisahau kumwaga kojokitandani au sehemu yoyote tukitiwa vizuri na mubaba au mukaka.
Ila wewe 😅😅😅🙌🙌🙌
Ulichoandika hapo ni day dreaming, social dynamics zimebadilika sanaMsijali dada zetu kila mtu kaumbiwa wa kwake wa kuolewa nae,,Hzo tabia zote zilizotajwa kuna mtu ukiangalia tu mtaendana hvohvo,,ndo mana single maza wa watoto watatu anaolewa na single father wa watoto wa4,,mwenye nyimbo za singel anaolew na DJ au msimamiz wa night club,,
"you are the missing piece to someone's puzzle"