Ukitaka kumuua mwanaume kisaikolojia!

wanaume hawapendi kukosolewa kwa kukosewa heshima. mtu yeyote,hata kama mdogo unaweza kummaliza uajsiri wake kwa kukosoa huku unamkosea adabu mbele za watu. mwanaume anakosolewa chumbani, huku umemvika khanga imeandikwa 'tulia unyolewe'. mwanajamii1 nae ijumaa saa hizi sijui kafungiwa wapi wallah! hapo hata umgombeze, akiwa mkali unamuibia tena kwa maneno,lol
 
Dah, mwanaume akikosolewa anakuwa mnyonge sana, na unyonge utamuisha mapema na kukubali kubadilika kwenye mambo ya kawaida but kama ulimkosoa kwenye sex, atakuwa mnyonge kwa muda mrefu zaidi, na akipata ahueni, anaweza akakuacha muda si mrefu au baada ya kupumzika kusex na wewe kwa muda, atakuja kusex na wewe kwa kukukomesha, atakuchubua ipasavyo, ukilalamika, utaambiwa, si ndivyo ulivyokuwa unataka au?!.
 
Tulia unyolewe? hahahahaha
 
ila watu wakiume wauaji sana ktk swala nzima la mapenzi sijui ni kwasababu wao hawaumii loh!
 
Mmmmh! Kwahiyo wanaume hampendi kukosolewa?
Ndiyo maana kule kwetu kwa akina Marwa, Chacha, Wambura na Mwita, wakati tunapowaoa akina Robi, Gati, Nyambura au Mukami, huwa tunakabidhiwa RUNGU na SIME kwa ajili ya "kudumishia ndoa". Ajifanye kumkosoa mwanaume ndiyo atakapojua nani kaolewa!
 
Hapo nyekundu 1&2:
1. Ninakubali mwanamume akikosolewa akiwa Kibo anaweza kunywea na pengine kibatari kuzima kabisa.
2. Je, ikiwa mwanamke atakosolewa na mwanamume katika mazingira kama hayo, hujisikiaje? Udadisi tu.
 
Tunashida kiasi hiki? Kukosoana ktkt ya tendo!.....au unawananga kinamna watu flani na ukelele-raha wao unaodhalilisha majina ya watkatifu ktk dini kubwa nchini?..
 
Bibie.....! Kabla sijachangia maoni yako, ningependa kufaham....

Umeishawahi kuwa Mwanaume hapo kabla?? Elewa vizuri swali langu sijakosea, sio kuwa na mume ila ...Umewahi kuwa Mwanaume??
 
kama ukimkosoa mtu kistaarabu cdhani kama inaweza kumuumiza mtu kisaikolojia katika hali ya kawaida ... ile wengine hutegemea kumpatia athari mwanaume hasa wakati wa tendo unaweza kujikuta unamwamisha halafu utaanza kulaumu ooohh bakora sipati oooh hili na lile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…