Tukitaka tujue taifa lina viongozi wenye akili tuangalie nini ?Take Note.
Mfereji wa ikwetaMkifika kwa wanaume, naomba mnistue, maana hata sielewi.
Kwa wanaume mwenye miguu michafu ndo mume boraMkifika kwa wanaume, naomba mnistue, maana hata sielewi.
Vijana wenye nyege halafu wanakataliwa kitaa , ndio huwa na hizi tabia bwasheeNyuzi za kushambulia wanawake Ni za kisenge
Kweli kabisa MangiVijana wenye nyege halafu wanakataliwa kitaa , ndio huwa na hizi tabia bwashee
Duh😀😀😀Kwa wanaume mwenye miguu michafu ndo mume bora
Uzi ufungweKwa wanaume mwenye miguu michafu ndo mume bora
Haya ElizaNaogaje wakati bado upo bafuni unajisugua hio miguu😂
Tena liinakuwa bifu kubwa mno. Ila siri iliyopo ni kwamba wanakuwa wanajuana kwa ID A kumbe mwingine na ID B ya kificho ndio anatumia kumbully mwenzie sio kwamba nj hawajuani ila mmoja anakuwa anamjua mwenzie vizuriHivi kuna watu wana beef kimya kimya na hawajawai kuonanaa etiii
Sasa si ufafanue gran pah! 😂😂😂😂😂😂Mfereji wa ikweta
Mie kuna kitu sielewi, nasubiri kujuzwa, wakifika kwa wanaume. LolKwa wanaume mwenye miguu michafu ndo mume bora
Sawa bi fangasiHaya Eliza