Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 45,974
- 136,757
Ukiona mwanaume msafi sana, anaoga kila siku; shtuka! Mwanaume anatakiwa anuke jasho na pia aoge kwa wiki mara moja tu, siku ya kwenda Msikitini au Kanisani. Hapo ndiyo uhakika. Yaani mwanaume anatakiwa muda wote anuke kama dume la mbuzi.Mkifika kwa wanaume, naomba mnistue, maana hata sielewi.