Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 11,067
- 35,292
Spana unazoweza kupiga ni kunipiga ban basi tu😂Achana na huyo mjinga hiyo ndo kazi yake kuvamia watu na kuwatukana hovyo alafu ana I'd fake nyingi zitakuja kumsaidia hapa, nlishawahi kumpiga spana hadi akaita moderators waje kumsaidia