Ukitaka kujua kuwa mpenzi wako ana sifa ya kuitwa mke/mume,fanya yafuatayo

Mie naenda kusuka hela yote na inaweza kupelea nikakuomba uniongezee, nakuomba na ya wine na baadae nakuambia njoo unipeleke home au nitumie tena hela ya usafiri, yaani ndo utaniacha siku hiyohiyo ukinitega, yaani unipe hela kiduchu hivyo halafu utegemee mrejesho wa matumizi, khaaa, nitafanya kwa mume wangu tu, hata hivyo hela ya kuhongwa siwezi toa sadaka wala kumsaidia mhitaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuoa na kuolewa ni mipango ya Mungu ndio maana hatujui tutaolewa au tutaoa nani..
izo zingine ni mbwembwe tu, kama ndo fomula hio basi wengi wangekua na ndoa, lakini cha kustaajabisha akina Lorraine fine Ass ndo wanaolewa
 
Ukitaka kujua kuwa mpenzi wako ana sifa ya kuitwa mke/mume,fanya yafuatayo; Kama ulikuwa na wapenzi wengi mfano watano (5),chukua pesa kidogo labda 250,000,na kila mmoja mpatie 50,000 akaifanyie matumizi anayotaka.Baada ya hapo kila mmoja akupe mrejesho kwa ile fedha ameifanyia nini. Ikiwa watakupa mrejesho kama ufuatao....chukua hizi hatua:-
  • Ametumia fedha yote kujiremba/matumizi yake binafsi.......piga chini
  • Amesaidia ndugu zake/marafiki zake................piga chini
  • Ametoa sadaka au kawapa watu wenye uhitaji................jaribu kumfikiria tena
  • Ametumia kwenye pombe na fedha kuisha.............piga chini
  • Ametumia kwenye mahitaji yake kiasi na nyingine akatumia kwenye mahitaji yako. mfano labda akakuletea shati,suruali n.k..................huyo weka ndani/oa (hana ubinafsi yuko tayari muwe mwili mmoja).
Noma sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah! Siku za nyuma nilipata manzi mmoja.
Nilimweleza bajeti yake ya kununua nguo ni 270,000/=

Nilishangaa sana kuona katika hiyo hiyo pesa niliyompa akaninunulia t-shirt 1, shati 1, saa1 na jeans! Nilishangaa.

Sasa ninamkumbuka sana kwa ushauri wake.
Nimefikia nahitaji kuoa nikamtafuta; kumbe kashaolewa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulimchelewesha mkuu
 
Mie naenda kusuka hela yote na inaweza kupelea nikakuomba uniongezee, nakuomba na ya wine na baadae nakuambia njoo unipeleke home au nitumie tena hela ya usafiri, yaani ndo utaniacha siku hiyohiyo ukinitega, yaani unipe hela kiduchu hivyo halafu utegemee mrejesho wa matumizi, khaaa, nitafanya kwa mume wangu tu, hata hivyo hela ya kuhongwa siwezi toa sadaka wala kumsaidia mhitaji

Sent using Jamii Forums mobile app
ha ha ha wewe sio waifu matirio
 
Kuoa na kuolewa ni mipango ya Mungu ndio maana hatujui tutaolewa au tutaoa nani..
izo zingine ni mbwembwe tu, kama ndo fomula hio basi wengi wangekua na ndoa, lakini cha kustaajabisha akina Lorraine fine Ass ndo wanaolewa
Wengi ambao hawajaoa/kuolewa kuna sehemu watakuwa wamekosea katika ujana wao.
 
Back
Top Bottom