Ukistaajabu ya Musa utaona ya Bunge kuoneshwa LIVE leo bila uwepo wa wapinzani bungeni

Hivi wanalumumba si ndo wale wakisimama mjengoni wanapinga wanapinga weee alafu baadae wanaunga mkono hoja!!??
 
Nipo ofisini hapa napitisha macho kwenye TV naona Bunge la 12 kipindi Cha maswali na majibu Mbashara, je utaratibu huu ndio umerudishwa?
 
Nimeona kwenye mitandao mbalimbali watu wakianza kusifia serikali ya awamu hii kuruhusu bunge live kama njia moja wapo ya kusahihisha makosa yaliyokuwa yanafanywa na serikali ya "Mwendazake".

Jambo ambalo pengine hao wasifiaji wanatakiwa kuelewa kama kweli "hawajatumwa" kuwa kilichosababisha bunge kurudishwa "live" ni baada ya kubakia wao tu bungeni (wanalumumba) na kwamba hawawezi kuibua hoja zenye mashiko au kuikosoa serikali zaidi ya kumsifia Mh. Rais.

Kwa msemo wa Kiswahili ni kwamba wameruka mkojo na kukanyaga, hakuna jipya kwa ufup
Wanadhani watu walikuwa wanaangalia bunge laivu ili spika kuuza sura na kuisifu serikali.

Bunge laivu lilifuatiliwa sababu ya serikali kuadabishwa kwa ya kijinga
 
Back
Top Bottom