Ukistaajabu ya Escrow utaona ya Mwakyembe

Ukistaajabu ya Escrow utaona ya Mwakyembe

Kila mtanzania atakubaliana na mimi kwamba katika kipindi cha muda mfupi ambapo Dr. Mwakyembe amekaa katika wizara ya uchukuzi amefanya kazi nzuri kuanzia bandari hadi uwanja wa ndege. Zile kelele za Tanzania kuwa kinara wa madawa ya kulevya na JKN International Airport kuwa kitovu cha upitishaji wa madawa ya kulevya hivi sasa zimekwisha kutokana na kazi nzuri ya Mwakyembe. Sasa hivi ukiachilia mbali matatizo ya system utoaji wa mizigo bandarini umekuwa na unafuu sana, huku wakwepa kodi huko bandarini wakiwa katika wakati mgumu. Ni wazi na dhahiri kwamba waziri Mwakyembe amefanya mageuzi makubwa katika wizara aliyokuwa anasimamia.
Lakini inashangaza sana kuona kwamba baada ya ufanisi huu wote, Rais Kikwete, ameona vema kumtoa Mwakyembe katika wizara hii na kumpa Samwel Sitta ambaye kiujumla hata huko wizara ya Afrika Mashariki ame-underperform.

Ni nani asiyejua kelele za Sitta na kauli zake wakati wa mgogoro kati ya Kikwete na Kagame? Mtu asiye na uadilifu katika wizara isiyo na kazi kama ya Africa mashariki atawezaje kubeba mikoba ya Mwakyembe kuwakabili wauza Unga wenye nguvu na mtandao mkubwa? Napata taabu kuamini kwamba mabadiliko haya ni ya kawaida.

Nashawishika kuamini kwamba Mwakyembe amemvurugia Kikwete biashara zake za madawa ya Kulevya. Maana wote tunajua kwamba Kikwete alipoingia madarakani alituambia anayo majina ya wauza unga, na hadi leo hajawahi kuyaweka hadharani wala kuchukua hatua za kuwakamata hao wauza unga anaowafahamu kwa majina. Ni dhahiri kwamba watu hawa waliingia naye ubia. Na kitendo cha Mwakyembe kusimama kidedea dhidi ya biashara hiyo kinaweza kuwa kimewakera washirika wa Kikwete katika biashara ya madawa ya kulevya na kumshawishi amuondoa.

Meno Yako Ni Imara Na Kucha Zako Zimegangamala?
 
tatizo aliziba mianya yote ya kifisad, aliwazibia hata wakubwa kupitisha mirung yao ambayo ndo inawaweka mjini.

CHEZEA MIRUNGI WEYE

wamwemeka wazir MDEBWEDO-6- ili mambo yawe kama yalivyopangwa, ili pesa za uchaguz mkuu zivunwe kwa biashara ya mihadarati kwa kipind hik muhimu,
MWAKYEMBE MSHENZ SANA ANABANIA MPAKA WAKUBWA ZAKE DILI (HARAM) ZENYE MKWANJA MREFU???
BORA AENDE EAC TUMTUMIE HUYU 6 KUFANIKISHA DIL ZETU ZA SEMBE.
Unajua unachokiongea lakini wewe watu wengine mnafaa kuchunga mbuzi wala siyo kitu kingine umeandika ubwabwa kabisa hakuna cha maana hata kimoja unaongozwa na hisia za kishamba kabisa.
 
Kila mtanzania atakubaliana na mimi kwamba katika kipindi cha muda mfupi ambapo Dr. Mwakyembe amekaa katika wizara ya uchukuzi amefanya kazi nzuri kuanzia bandari hadi uwanja wa ndege. Zile kelele za Tanzania kuwa kinara wa madawa ya kulevya na JKN International Airport kuwa kitovu cha upitishaji wa madawa ya kulevya hivi sasa zimekwisha kutokana na kazi nzuri ya Mwakyembe. Sasa hivi ukiachilia mbali matatizo ya system utoaji wa mizigo bandarini umekuwa na unafuu sana, huku wakwepa kodi huko bandarini wakiwa katika wakati mgumu. Ni wazi na dhahiri kwamba waziri Mwakyembe amefanya mageuzi makubwa katika wizara aliyokuwa anasimamia.
Lakini inashangaza sana kuona kwamba baada ya ufanisi huu wote, Rais Kikwete, ameona vema kumtoa Mwakyembe katika wizara hii na kumpa Samwel Sitta ambaye kiujumla hata huko wizara ya Afrika Mashariki ame-underperform.

Ni nani asiyejua kelele za Sitta na kauli zake wakati wa mgogoro kati ya Kikwete na Kagame? Mtu asiye na uadilifu katika wizara isiyo na kazi kama ya Africa mashariki atawezaje kubeba mikoba ya Mwakyembe kuwakabili wauza Unga wenye nguvu na mtandao mkubwa? Napata taabu kuamini kwamba mabadiliko haya ni ya kawaida.

Nashawishika kuamini kwamba Mwakyembe amemvurugia Kikwete biashara zake za madawa ya Kulevya. Maana wote tunajua kwamba Kikwete alipoingia madarakani alituambia anayo majina ya wauza unga, na hadi leo hajawahi kuyaweka hadharani wala kuchukua hatua za kuwakamata hao wauza unga anaowafahamu kwa majina. Ni dhahiri kwamba watu hawa waliingia naye ubia. Na kitendo cha Mwakyembe kusimama kidedea dhidi ya biashara hiyo kinaweza kuwa kimewakera washirika wa Kikwete katika biashara ya madawa ya kulevya na kumshawishi amuondoa.

Jingine, Mwak anafufua reli ya kati na ameahidi kufufua ya tanga na moshi anataka malori ya mwanangu yakose biashara?
 
Ndo maana sishangai kwanin baraza la mawaziri halina ufanisi. Kuhamishana bila maana ndo sababu kuu na ya pili kumuweka waziri wizara asiyoijua hata abc zake
 
umexema kwel lkn uzi wako utaondoshwa mana umeigusa ikulu ktk kashfa ya kuchuuza unga
 
Mauchafu mengi yameibuliwa kipindi cha Mwakyembe. Kumuondoa kwenye hii wizara ni kurahisisha kupitisha magendo na vitu haram.
Haijatokea kwa bahati mbaya ila wamefanya makusudi kabisa
 
Magazeti kama nipashe nalo gazeti kusoma mtu mwenye akili na kulichukulia kama chombo cha maana cha kutoa tarifa kwa umma wakati huandika kwa matakwa ya mengi.

Kwa hiyo Mwakyembe alikuwa anafanya kazi kwa matakwa ya Mengi? Ficha ujinga wako wewe!
 
Umepata wapi mda wa kuandika hiyo riwaya? Mwakyembe ndie waziri pekee aliyechapa kazi na zikaonekana wazi na masikini wa Tanzania.
 
amani kwenu wadau,hivi kuhamishwa kwa mwakyembe kuna tija kwa taifa?maana katika serikali ya kikwete nilimchukulia mwakyembe kama waziri aliyekuwa anafanya kazi kwa viwango.ni chini ya dr mwakyembe tumeona mabadiliko na mageuzi makubwa wizara ya uchukuzi hususan kwenye bandari ambayo mimi na ichukuli kama moja ya nguzo za uchumi wetu.je kwa maamuzi yaliyofanywa na rais ya kumhamisha yamelenga kuleta ufanisi kwenye moja ya wizara nyeti hapa nchini?nawasilisha

Hayana tija kwa wizara ila yana tija kwa ccm kuchota pesa za uchaguzi!
Mwakyembe ingekuwa ngumu kutoa pesa kwa ajili ya uchaguzi ila Sitta ni rahisi kama walivomshawishi kuburuza katiba ccm!
 
Haya ndiyo ukisikia majungu na udaku usio na mpango wa Watanzania. Mtu anaandika kuwa Mwakyembe kaweka wandani na ndugu zake lakini hamtaji hata mmoja. Majanga.
 
Wewe Tina huna mume? Usiku wa saa saba kasoro (00:39) unakaa kuandika habari za waume wa watu walio lala na wake zao, na mume awe anakucheki tu?
 
Last edited by a moderator:
Wewe Tina huna mume? Usiku wa saa saba kasoro (00:39) unakaa kuandika habari za waume wa watu walio lala na wake zao, na mume awe anakucheki tu?

Reject list huyu lazima ni over 40 amezalishwa amekimbiwa halafu ni mchepuko au ana marioo anamlea ndo sababu anapambana kupata hela ya kumkeep serengeti boy!
 
Last edited by a moderator:
Haya ndiyo ukisikia majungu na udaku usio na mpango wa Watanzania. Mtu anaandika kuwa Mwakyembe kaweka wandani na ndugu zake lakini hamtaji hata mmoja. Majanga.
huyu hana tofauti na wale wa mtaa wa LUMUMBA.
KAKESHA USIKU WA MANANE KUTAPIKA UMBEA USIO MSAIDIA LOLOTE ZAIDI HAPA ATAAMBULIA KICHAPO CHA ...... MACHAFU
 
NDIYO KUNATIJA.Sasa ni lala salama baada ya kuwanyima Watanzania MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA kupitia EPA,ESCROW,RICHMOND,MEREMETA kama tulivyofanya kwenye bunge la katiba.Awamu ya nne inataka iwaange kwa dili kubwa zaidi.Mzigo wenye dili mpe Mnyamwezi kabla ya Oktoba mtasikia tu.Usishangae SETH akauziwa MAGOGONI na ikulu kuhamia Urambo TABORA.Au mkataba wa TICS ukawa miaka 500 ukahusu pia bandari za Tanga na Bagamoyo.Watanzania sasa tunaelekea kumalizia awamu ya nne iliyosheheni maisha bora kwa kila mtanzania tegemeeni makubwa kwenye sekta zote kabla ya Oktoba.
 
Mbona akiwa huko Wizara ya Uchukuzi hamkuyabainisha haya?

Mkuu Tina ameishaleta nyuzi nyingi hapa kuhusu Mwakyembe na zote watu walikuwwa wanambeza kuwa ana chuki na Mwakyembe. Hata hapa hakuna anayejadili alichosema Tina bali wanamjadili yeye.

Mimi failure kubwa ninayoiona ni kitendo cha Mwakyembe kufukuza DGs WA Bandari na ATCL then akawaweka wa muda, akiwamo ndugu yake Lusajo waATCL na hakuwahi kufanya usaili kuziba hizo nafasi kwa miaka miwili aliyokuwepo. Something fishy
 
Last edited by a moderator:
acha mambo yako umetumwa na ulicho andika hakina tofauti na hekaya za abunuas kazi aliyo fanya mwakyembe tunaijuwa na hata mpango wa mafisadi tunaujuwa na wanashangilia mwakyembe kubadirishiwa wizara
 
Back
Top Bottom