Ukistaajabu ya Escrow utaona ya Mwakyembe

Ukistaajabu ya Escrow utaona ya Mwakyembe

Mwakiembe kaondolewa baada ya Ikulu kugundua deals zake
za Bandarini,

Kilichomponza zaidi ni kununua kile kiwanja cha Bahari Beach kwa bilioni moja kutoka kwa Mzungu.

Nyie mtalalamika weee lakini yeye mwenyewe anajua kwanini ameondoka.
 
Wote wanaomponda Mwakyembe lazima watakuwa ni majeruhi walioathiriwa na kimbunga chake na wezi waliozoea kuiba vitu vya watu bandarini. Kuna mmoja nilimsikia jana akishangilia kuondoka kwa mwakyembe kwamba sasa ataweza kuimalizia nyumba yake iliyokuwa imeishia kwenye lenta
 
Mishahara ya wafanyakazi tazara, nayo inahitaji kick start?? What a looser

Ebu ficha up.umbavu wako. Mwakyembe ndo anawalipa mishahara wafanyakazi. Tazara ni ya tanzania pekee?? kuna mambo yanaitaji collective responsibility.. tazara ni shirika la tanzania na zambia sio mwakyembe..
 
Ukweli haupimwi kwenye mizani.Mkyembe alitoa maamuzi magumu kwa ajili ya manufaa ya taifa zima bila kumung'unya maneno na wazembe walianza kujirekebisha.Siasa za kwamba waziri aanze kupendelea jimbo lake kwa kutumia nafasi yake; imepitwa na wakati kwa watu weledi kama yeye.Mi nadhani hajapoteza kwani ameweka historia
 
Ebu ficha up.umbavu wako. Mwakyembe ndo anawalipa mishahara wafanyakazi. Tazara ni ya tanzania pekee?? kuna mambo yanaitaji collective responsibility.. tazara ni shirika la tanzania na zambia sio mwakyembe..

Collective responsibility waziri mwenye dhamana???? Who else unataka awalipe??? You are so blind na mayowe ya huyu mbabaishaji... Attention seeker, hebu tuambie amefanya nini na wizara ya uchukuzi so special ambacho tutamkumbuka.... Atc imezikwa kabisa wakati wa uwaziri wake uwanja wa ndege unajuva utafikiri watu wako kwenye pagale...! Reli ya kati iko tumezika.... Eti mpumpafu mmoja anasema hayakuwa majukumu yake.. Watu na familia zao wanakosa mshahara miezi 4 waziri mwenye dhamana anasema it's not entirely my responsibility
 
hata sielewi ili gazette linamainisha nini, nasoma comments tu! ila nafikiri unamimba ya mwakyembe kale udongo
 
Rais Magufuli mchunguze huyu Mwakiembe kile kiwanja cha bahari beach cha bilioni moja ni pesa za huko bandarini na reli. Toka ahamishwe wizara ya uchukuzi spidi zake za miradi zimesimama.

Huyu jamaa ni fisadi mkubwa mno.
 
Nyingine hii ya bandarini, Tina alitoa somo lakini watu wakawa wanamtukana. Rudi kuisoma tena kumbe uozo ulikuwa unajulikana siku nyingi.
 
Tina uko wapi? ulitukanwa saaaana! mie Mwakyembe nilikua namkubali kupitiliza lkn issue ya Dr Mihogo na kashfa alizokuwa akimbambikiza Lowassa nili MDELETE JUMLA.
 
Back
Top Bottom