Ukistaajabu ya Escrow utaona ya Mwakyembe

Ukistaajabu ya Escrow utaona ya Mwakyembe

Tina, hii sio mara ya kwanza kuleta story za Mwakyembe na Kipande. Hivi Mwakyembe alikufanya nini? Maana chuki uliyo nayo dhidi yake haipimiki.

Tiba
 
kama yote hayo ni kweli basi wakulaumiwa sio Mwakembe ni Kikwete aliyemchagua ili hali yote hayo anayafahamu
 
Ubunge unahitaji hela ..tena hela nyingi tuu. Wabunge wanaopata nafasi za uwaziri wanatumia hizo nafasi kupata fedha kuimarisha ubunge wao na kujiandaa kugombea tena ubunge. Wanatumia media kuonyesha ni wachapa kazi lakini nyuma ya pazia ni wala rushwa wazuri tuu. Sisi wananchi ndio tunadanganyika na kubaki kushiakana mashati ohh waziri fulani jembe bla bla...wote wanasiasa tuu.
 
Mbona akiwa huko Wizara ya Uchukuzi hamkuyabainisha haya?

Kuna tatizo kwa mwandishi, ukisoma in between lines hakuna ukweli, lugha iliyotumika ni ya kisiasa zaidi na kuvuta hisia ili kufanikisha dhamira yake ovu
 
Mtoa mada unaroho mbaya hadi sio vizuri,inamaana unataka kutuaminisha kuwa Mwakyembe yote aliyofanya ni mabaya,Hata la kukufukuza ww pale TPA kutokana na wizi wako pia ni baya?
 
Yani nime soomaweeeeeeee, hadi nilipo choka na kushindwa kumaliza kuisoma taarifayako sijaona point hata moja, nitasoma comments za wengine labda watanisaidia kuelewa kitu.

Ninakuunga mkono Mnyama k kwani nilidhani niko peke yangu. Watz tumezidi sana woga. Maelezo yote hayo yalistahili kutolewa siku nyingi na sio leo baada ya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri.
 
Wewe lazima utakuwa miongoni mwa wezi wa makontena ambao Mwakyembe aliwaamuru kitengo kizima kwa pesa zenu binafsi kumlipa yule mama Mcongo mwenye container Lake la vitenge lililopotea chini yenu!
 
Mi naona Mwakyembe Mwakyembe tu mwanzo mwisho, si ungeyasema siku zote km yalikukaba...
Wengi wamelichoka hili chama

Hili lichama limesha jifia linatafuta mtu wakuli gusakidogo tu ili apate kesi,aonekane ameuwa, tutalisukuma mwakahuu tulimalizie tupate kesi ya kuliuwa hili lichama, ni katika hiihii twenty 15 election.
 
Haha, inaelekea fagio lake lilikupitia pale TPA, poleee yako
 
Kazi kwelli kweli!!!!!
Tina kwani kunani haswa??!!
 
Last edited by a moderator:
Mbona akiwa huko Wizara ya Uchukuzi hamkuyabainisha haya?

Mkuu watu8 halafu katika hii riwaya over 95% ya content inaongelea TPA hivi Mwakyembe alikuwa waziri wa TPA?
 
Last edited by a moderator:
ImageUploadedByJamiiForums1422244178.691731.jpg
 
Porojo na Chuki a.k.a WIVU kwa utendaji makini wa Mwakyembe
 
Leta hoja na si makelele, mwakyembe kuwazuia msiibe hata redio za kwenye magari ndo imekuwa nongwa...Hatutaki porojo.
 
nguo yenye rang nyeupe ni nyeupe tu, hata kama ikichafuliwa na matope {ninyi} bado itaendelea kuitwa nguo nyeupe.

Mnataka kulazmisha mlima kuwa kichuguu,
kamwe hata mje na mastor ya kujifaragua ya kila aina kumuhusu JEMBE MWAKYEMBE, bado ubora na uwezo wake unaelezeka na kubainishwa kila mahali.Ila ndo niny alowadhibit kwa madili yenu ya kishenz na hatmaye kuja na POROJO ZA KIIN MACHO KAMA HIZO.

Nb\:ungefunguka kipind bado hajaamishwa ungeonekana wa maana na una nia nzur ya kupinga matumiz mabaya madaraka, lakin ukitubainishia ya MWAKYEMBE kwa sasa tunaita haya ni MAJUNGU\UMBEA usio na tija kwetu
 
Hivi mwakyembe ameongeza ndege ngapi ATC?

Hata Mamlaka ya viwanja vya ndege nasikia alimpa mtu ukurugenzi wakati hana sifa wala hafai kwa kuw tuu either ni ndugu au raafiki wa rafiki. Walitangaza nafasi na wenye sifa wakaaply wakapata. Kwa maksudi wakaahirisha kuajiri na baadae wakaajiri kinyemela mtu ambae hata hakufanya usaili
 
Mwakembe niliona sifuri yaani zero kabisa... Siku aliposoma majina ya watumishi wizara zingine waziwazi bila tuhuma yeyote... Yalifika wapi!? Kajifanya yeye waziri mkuu yeye... Amedhalilisha watumishi wa serikali kwa kutaka sifa na kutafuta attention haya wapeleke mahakamani sasa!!?
 
Hawa ni walaji waliozibiwa mirija yao, angekuwa wa maana habari hizi azilete kwa wakati
sio leo
 
Back
Top Bottom