Sokomoko
JF-Expert Member
- Mar 29, 2008
- 1,915
- 129
Habari za Jioni wana JF.
Nipo kisiwani unguja moja katika vile visiwa vikuu viwili vya unguja na pemba vyenye kunukia marashi ya karafuu..
Natembea nakuangalia madhari nzuri ya nji mkongwe niliwa kwenye gari na waenyeji wangu tunapita kwenye majumba ya michenzani. Namuuliza mwenyeji wangu Karume jr amemalizia yale majengo aliyoyawacha babayake? ananimbiandio ukiyaangalia yanavutia sana lakini kwa sauti ya kukazia mwenyeji wangu ananiambia hayo majumba zimeliwa pesa nyingi sana... enhh ananiambia nyumba hizo zilikuwa zimalizike kwa pesa kutoka uchina na china walitoa hizo pesa na mhe karume amechota pia pesa zssf (nssf kwa bara) na matofali yaliyojengewa hizo nyumba yameuzwa na mama fatma karume! na na na vibarua wa ujenzi walikuwa wafungwa!
Naachamdomo wazi natafakari kisha jamaa anazidi kuniambia kuwa hii familia imegeuza hii zanzibar kama shamba la baba yao na sie tuliomo humu ndani kama vibarua wao maana wamejilimbikizia mali kisawasawa beach nzuri nzuri zote zinamilikiwa nawao wamenunua na nyingine wamedhulumu! na zile nyumba za michenzani mpya ile milango ya maduka yote ni ya first lady mama shadya karume! na mama yake mhe karume amevuka kutoka unguja mpaka pemba pale pemba micheweni karibu na kituo cha polisi kazuia eneo kubwa sana katia fensi analima mtama na kwa taarifa tu kicho kilimo cha mtama sio nia ni beach plots zilizopo nyuma ya hilo shamba la mtama.
Mastaajabu navuta pumzi namfikiria Lowassa na moyoni nasema kina Lowassa wapo wengi na hatuwawezi! Namuuliza mwenyeji wangu kuhusu hali ya kisiasa ananiambia ni mbaya sana na kuning'ata sikio kuwa ilipokuwa ikijadiliwa hoja ya serikali ya mseto nusu mkutano uvunjike maana mhe karume alisema kama ndio hivyo basi na muungano basi! jamaa akaniambia huyu hawezi kukubali mwafaka maana wamejilimbikizia sana mali wakikubali mseto "they will not be secured" na wanajitahidi kuunyanyasa upande wa pili wa zanzibar (pemba) pemba kukaa siku 2, 2 wiki au wiki mbili bila ya umeme ni jambo la kawaida pemba ni jela ndogo. Pemba hakuna kitu pemba kuna njaa! Serikali wanawafanyia wapemba u janjaweed wa kiana yake. Kufa hufi cha moto unakiona!
Jamani haya ndio niliyoyapata hapa visiwaniwale wanaJF mnaotoka Zanzibar tupeni in detail.
Maasalam.
Sokomoko safarini Zanzibar.