Ukistaajabu ya Edward Lowassa utayaona ya Aman A. Karume

Sifa moja kubwa ya Mhe. A. Karume kabla ya kuwa prez hapo visiwani ni kutochukua mshahara wake akiwa Waziri...

samahani, huyu jamaa alikua anaishije sasa!!yani kama alikua anatumia za urithi au wana vitega uchumi, na ni vitega uchumi gani? ufafanuzi tafadhali
 
Kibunango wewe ndio unatakiwa ulete habari hizi ni ya kweli haya au hujapitapita...?
Mkuu Mwanakijiji
Tatizo siku hiz watu wanapenda uchonga sana, Wengine wameona bora kuingia JF kwa kuptia mlango wa Zenj, baada ya mazagazaga ya Bara kuwa mengi.

Kuhusu Michenzani, kuna Familia nyingi ambazo bado zinadai kupewa nyumba hapo Michenazani ya kubomolewa nyuma zao wakati zoezi zima la ujenzi wa nyumba bora kwa wakaazi wa Zenj. Na sasa Mhe. Karume anajaribu kuondoa tatizo hilo wa kumalizia nyuma za Michenzani ambazo zilianza kujengwa tokea wakati wa marehemu baba yake.

Katika awamu sita za uongozi wa SMZ ni awamu mbili tu ambazo ziiweza kuendeleza majengo hayo, na ni baada ya kupata misaada mbalimbali toka kwa wahisani.

Komandoo Salmin aliweza kuendeleza Majengo hayo baada ya kusaidiwa na Col. Gaddaf wa Libya, Zaidi ya kujenga nyumba hizo Mkuu huyo wa Libya alitoa misaada mingi mengine kama lami ambayo hadi leo inaendelea kutumika katika kukarabati na kujenga barabara za visiwani humo.

Mhe. Karume anaendeleza yale ambayo aliazisha baba yake na kuendelezwa na viongozi wengine katika SMZ. Umaliziaji wa Majengo ya Michenzani unatokana na msaada mkubwa wa Libya visiwani humo. Kwani SMZ haina ubavu wa ujenga nyumba hizo kwa bajeti yake yenyewe.

Kuna wakati ilipendekezwa kuwa ujenzi wa nyumba hizo ubinafsishwe, na hapo ndio China ikaanza kusikika katika kushiriki kwenye ujenzi huo. Hata hivyo wazo hili halikuweza kupata baraka za wananchi kwani sehemu kubwa ya ujenzi wa nyumba hizo ni kufidia wale ambao walibomolewa nyumba zao.

Michenzani ina sifa zengine zaidi kuna block moja ambalo lilimalizwa na Komandoo Salmin muda mfupi kabla ya Tanzania kiungia kwenye mfumo wa vyama vingi. Ili Komandoo ashinde uchaguzi wa kwanza aliamua kutumia block ilo kisiasa zaidi. Na ni pale alipoamua kuwapa Wapemba nyumba nyingi katika block hilo, badala ya kufidia wale waliobomolewa. Hadi leo block ilo linajulikana kwa jina la Pemba. Kwa waliofika Zenj block hilo lipo mita chache kabla ya kufika Mwembemadema polisi.

Wengi ambao wamepata nyumba hizi awaishi tena katika block hizo, badala yake wamekodisha nyumba hizo. Watea wakubwa ni wafanyakazi wengi wakiwa kutoka Bara na Kenya na wapo zaidi katika sekta ya utalii

Kutokana na aina ya ujenzi wa nyumba hizo, kulikuwa na upungufu mkubwa wa mahijati ya lazima kwa waakazi,hii ilipelekea awamu ya Komandoo kutoa ruhusa ya watu kuweka makontena katika eneo la Michenzani, ili usogeza huduma muhimu kwa waakazi wa apo na maeneo jirani.

Kuna kipindi watunzaji na wajenzi wa nyumba hizo walitoa ruhusa kwa waakazi wake kufungua maduka katika nyumba hizo, hii kwao ilikuwa ni sehemu ya vyanzo vya kodi ambazo hukusanya katika nyumba hizo

Uendelezaji wa Majengo ya Michenzani umeweza kutoa nafasi nyingi kwa wadau mbalimbali katika sekta ya Ujenzi visiwani humo. Asasi ya Utunzaji na Ujenzi wa Nyumba hapo visiwani, ndio wajenzi wakuu wa nyumba hizo(Main Contractor). Wazambazaji wa mahitaji ya ujenzi wapo wengi na hapa ndio maneno ya ajabu yanapo anzia.
 
Mkuu Mwanakijiji
Tatizo siku hiz watu wanapenda uchonga sana, Wengine wameona bora kuingia JF kwa kuptia mlango wa Zenj, baada ya mazagazaga ya Bara kuwa mengi.

Kuhusu Michenzani, kuna Familia nyingi ambazo bado zinadai kupewa nyumba hapo Michenazani ya kubomolewa nyuma zao wakati zoezi zima la ujenzi wa nyumba bora kwa wakaazi wa Zenj. Na sasa Mhe. Karume anajaribu kuondoa tatizo hilo wa kumalizia nyuma za Michenzani ambazo zilianza kujengwa tokea wakati wa marehemu baba yake.

Katika awamu sita za uongozi wa SMZ ni awamu mbili tu ambazo ziiweza kuendeleza majengo hayo, na ni baada ya kupata misaada mbalimbali toka kwa wahisani.

Komandoo Salmin aliweza kuendeleza Majengo hayo baada ya kusaidiwa na Col. Gaddaf wa Libya, Zaidi ya kujenga nyumba hizo Mkuu huyo wa Libya alitoa misaada mingi mengine kama lami ambayo hadi leo inaendelea kutumika katika kukarabati na kujenga barabara za visiwani humo.

Mhe. Karume anaendeleza yale ambayo aliazisha baba yake na kuendelezwa na viongozi wengine katika SMZ. Umaliziaji wa Majengo ya Michenzani unatokana na msaada mkubwa wa Libya visiwani humo. Kwani SMZ haina ubavu wa ujenga nyumba hizo kwa bajeti yake yenyewe.

Kuna wakati ilipendekezwa kuwa ujenzi wa nyumba hizo ubinafsishwe, na hapo ndio China ikaanza kusikika katika kushiriki kwenye ujenzi huo. Hata hivyo wazo hili halikuweza kupata baraka za wananchi kwani sehemu kubwa ya ujenzi wa nyumba hizo ni kufidia wale ambao walibomolewa nyumba zao.Michenzani ina sifa zengine zaidi kuna block moja ambalo lilimalizwa na Komandoo Salmin muda mfupi kabla ya Tanzania kiungia kwenye mfumo wa vyama vingi. Ili Komandoo ashinde uchaguzi wa kwanza aliamua kutumia block ilo kisiasa zaidi. Na ni pale alipoamua kuwapa Wapemba nyumba nyingi katika block hilo, badala ya kufidia wale waliobomolewa. Hadi leo block ilo linajulikana kwa jina la Pemba. Kwa waliofika Zenj block hilo lipo mita chache kabla ya kufika Mwembemadema polisi.

Wengi ambao wamepata nyumba hizi awaishi tena katika block hizo, badala yake wamekodisha nyumba hizo. Watea wakubwa ni wafanyakazi wengi wakiwa kutoka Bara na Kenya na wapo zaidi katika sekta ya utalii

Kutokana na aina ya ujenzi wa nyumba hizo, kulikuwa na upungufu mkubwa wa mahijati ya lazima kwa waakazi,hii ilipelekea awamu ya Komandoo kutoa ruhusa ya watu kuweka makontena katika eneo la Michenzani, ili usogeza huduma muhimu kwa waakazi wa apo na maeneo jirani.

Kuna kipindi watunzaji na wajenzi wa nyumba hizo walitoa ruhusa kwa waakazi wake kufungua maduka katika nyumba hizo, hii kwao ilikuwa ni sehemu ya vyanzo vya kodi ambazo hukusanya katika nyumba hizo

Uendelezaji wa Majengo ya Michenzani umeweza kutoa nafasi nyingi kwa wadau mbalimbali katika sekta ya Ujenzi visiwani humo. Asasi ya Utunzaji na Ujenzi wa Nyumba hapo visiwani, ndio wajenzi wakuu wa nyumba hizo(Main Contractor). Wazambazaji wa mahitaji ya ujenzi wapo wengi na hapa ndio maneno ya ajabu yanapo anzia.

Kweli zipo familia chache zinazosubiri kufidiwa, lakini siyo kwa sababu ya kukosekana nyumba za kufidiwa kwani walipangiwa nyumba katika maeneo mengine kama vile Kilimani n.k, bali kwa sababu walikuwa wakitaka kupata nyumba katika eneo (mtaa) ule ule iliyobomolewa nyumba yao, wakaamua kusubiri zijengwe. Komandoo (Awamu yake) ilitoa nyumba hizo kwa familia za ndugu hao wa asili ya Pemba sio kwa sababu ya mambo ya Kampeni. Ni masualasuala ya kibinaadamu kwani waliopewa nyumba hizo (kati ya Ndugu hao) ni wale waliohamishwa Mji Mkongwe kwenye magofu yaliyokuwa yakiporomoka na kutishia maisha ya familia (hasa wazee wanawake na watoto wadogo). Wapo wanaouza/kukodisha fleti hizo kwa hao watu unaowasema (wafanya biashara, na wafanyakazi wanaokuja kutoka Bara na Kenya). Hilo linafanyika kinyume cha sheria na taratibu za Kiserikali. Ni jambo la kuhudhunisha. Kwani wanyonge hao ambao wamepewa maisha bora , wanapapatikia fedha hiyo kidogo na kwenda kujenga mabanda ya "mbavu za mbwa" katika "surbubs" za Mji wa Zanzibar. Hivyo wanarudi kule kule, na wanaofaidika na majenzi hayo ya maendeleo ni watu wasiokusudiwa. Taarifa hiyo kimsingi ni ya kweli.
 
samahani, huyu jamaa alikua anaishije sasa!!yani kama alikua anatumia za urithi au wana vitega uchumi, na ni vitega uchumi gani? ufafanuzi tafadhali

Khaa. Bwana Dayan we, kwani urithi si ndo urithi babu..... kufafanua tena- vyereje. Mbona wa kwako -Babu - haulizwi?
 
Inasikitisha sana! mimi nimepost mambo yalivyo ZNZ (ZANZIBAR NZURI ZAMANI) kwa wale msiojua kirefu cha ZNZ. Nimepost skedo za Mhe Amani A. Karume. Japo amefanya la maana kumalizia ule uje wa zile nyumba lakini funds zilizotumika asilimia kubwa kachukua yeye. Kivipi? nimezungumzia jinsi vibarua walivyopatikana kujenga zile nyumba. Kama mtakumbuka nilisema vibarua walikuwa wafungwa kutoka gerezani swali je walikuwa wanalipwa shilingi ngapi?nani alichukua fungu la vibarua? pili matofari yaliyojenga nyumba zile yaliuzwa na mama yake mhe Amani Karume na hapo hapo tunaambia maduka yake yaliyopo kwenye nyumba zile ni ya mama Shdya karume! na isitoshe kuna pesa nyingi sana zilichotwa ZSSF sasa kama nyumba zile zilifadhiliwa na Gaddafi Rais wa Libya then hizi pesa wanazokatwa wafanyakazi na ZSSF huku bara NSSF zimeenda wapi? Sio maelezo na historia za kale hapa tuna taka mwenye kujua atupe ukweli nyie mlioelezea historia ya hayo majengo lazima mna hint ya utilazation of funds from libya and zssf tunaomba mtuletee mwenye forum. Ahsanten sana na naomba kuwakilisha hoja.
 
dogo,umewahi kula/kunywa UJI WA SHURBA na BOKOBOKO wewe?
 
Shurba na bokoboko linaliwa na watu kama nyie mlioshiba sisi wenye njaa yetu Sembe na Dagaa. Rudi kwenye mada au unanitisha?Tunajua mmetumwa ila kumbuka hapa duniani tunapita tu hatuna ukaazi wa milele.

Na pia sisi sote ni binaadamu tuna viuongo sawa na kila kitu sawa tunatofautiana rangi, jinsia, mataifa na makabila.

Eng Mo Shurba uliyoikusubia ni kuadabishwa? na bokoboko ulilolikusudia wewe ni viboko.

Sasa naomba nikufahamishe mimi sio Dogo wala usidhani mie ni mtu wa wasiwasi Viongozi wako na hao waliokutuma wakiniona mie wananitetemekea wengine niingiapo kwenye gari hunifungulia mlango.

Hujui unamtisha nani angalia sana Mkubwa hatishiwi nyau.

Ahsante sana Eng Mo
 
"If we don't believe in freedom of expression for
people we despise, we don't believe in it at all."
-Noam Chomsky
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom