Asante Mkuu kwa taarifa. Jambo la msingi hapa na la kuumiza saana ni kwanini wafutiwe matokeo watoto ambao sio wahusika wa hujuma???..badala ya kushughulika na wahujumu (wamiliki wa shule)Hakuna mtoto wa shule binafsi aliyefutiwa mtihani.wote ni shule za serkali
Kuna namnaHakuna mtoto wa shule binafsi aliyefutiwa mtihani.wote ni shule za serkali
Hoja fikirishiAsante Mkuu kwa taarifa. Jambo la msingi hapa na la kuumiza saana ni kwanini wafutiwe matokeo watoto ambao sio wahusika wa hujuma???..badala ya kushughulika na wahujumu (wamiliki wa shule)
Nadhani shule binafsi anaweza kusomaSwali: mtoto akifutiwa matokeo maana yake hawezi kuendelea na elimu ya sekondari hata akienda shule binafsi?
Je akirudia inakuwaje?
Does it matter?? Kama issue ni kupambana na kughushi na vitu feki how come huku kwingine wanapeta tuu??Hakuna mtoto wa shule binafsi aliyefutiwa mtihani.wote ni shule za serkali
Ataendeleaje wakati kufutiwa matokeo maana yake ni kama standard 7 kapata zero?Swali: mtoto akifutiwa matokeo maana yake hawezi kuendelea na elimu ya sekondari hata akienda shule binafsi?
Je akirudia inakuwaje?
The solution was simple ni kushughulika na wamiliki wa shule walihosika kuwapa adhabu kali bila kuathiri matokeo ya watoto ambao hawajui mpaka sasa ni sanaa gani ilifanyika mpaka kupata ufauru huo.Kwa hiyo ulitaka wafanyweje tupe njia!
Walioiba mitihani siyo watoto ni waalimu na wasimamizi halafu wakawapa watoto na kuwaambia asitefuata maagizo ya walimu atafukuzwa shule;Kwa hiyo ulitaka wafanyweje tupe njia!
Walioiba mitihani siyo watoto ni waalimu na wasimamizi halafu wakawapa watoto na kuwaambia asitefuata maagizo ya walimu atafukuzwa shule;
Wakamatwe waalim ndo washitakiwe na watoto wapewe mitihani mingine kwa gharama za hao waalimu wezi.
The solution was simple ni kushughulika na wamiliki wa shule walihosika kuwapa adhabu kali bila kuathiri matokeo ya watoto ambao hawajui mpaka sasa ni sanaa gani ilifanyika mpaka kupata ufauru huo.Vivyo hivyo hata kwa swala hili la chadema mfumo(safi) ungeshughulika na woote waliafanikisha zoezi la kuapisha wabunge wa chadema bila kuangalia sura huku wakiawaacha hao wabunge walipata zari la mentally wakiendelea na kazi zao, Kwani pamoja na hao wabunge kuelewa kuwa kuna taratibu hazikufuatwa kwa upande wa chama chao lakini si wao walifanikisha mchezo huo mchafu kwanza hawana uwezo (mmeshau juzi juzi Ndugai alivyokuwa amfukuza Halima na Esther bungeni kama Mbwa)!!