Mkuu huwa tunaenda kwa kuwa bei ni nafuuKatika mahala ambako shule inapigwa hapa duniani ,INDIA ,KOREA na CHINA huwezi ukaziacha kwenye list,Huko nje inategemea umeenda kusoma chuo gani,india wana INDIAN INSTITUTE OF TECHLONOLOGIES hizo vyuo ni world class na wengi wakimaliza hapo wanakimbilia USA wengi ni ma CEO wa makampuni makubwa ,Nenda NASA,GOOGLE ,APPLE hakuna mahala utamkosa muhindi tena kwenye Vitenge,
Ndio maana tukiugua maradhi yakishindikana hapo muhimbili kwenye elimu ngumu tunakimbilia INDIA,CHINA nk Elimu ipo huko ila inategemea umefuata nini
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndorobo aliyekuzaa na kukunyonyeshaAkili ya ndorobo hii. Si rahisi kubadilisha akili ya mtu aliyekwisha kata tamaa.Baki ukijua ivo hivo, wala haimuathiri mtu.
U'o sahihi india nchi za afrika hukimbilia kutibiwa kwasababu ya gharama ndogo, operation moja ya dola elfu 3 india unakuta Ujerumani ni dola elfu 13. Plus upatikanaji wa visa kirahisi kuliko nchi za magharibi.
Kwanini msitibiwe hapo muhimbili kwa wataalamu wetu waliofanya vizuri kwenye masomo yao?Tunakimbilia India kwa aababu being in ndogo, ulaya tiba ipo juu
Ni nafuu kuliko muhimbili?
Unapozungumzia india na china unazungumzia jamii yenye historia ya maelfu ya miaka.Watanzania wengi waliosoma vyuo ambavyo vipo nchi za Asia wana msongo wa mawazo/stress, umaskini wa mali na akili mwisho hufa maskini.
Mfano wa hizo nchi ni kama Japan, China , India, Korea etc ambazo lifestyle yao kuanzia vyakula, malazi, socialization nk ni tofauti sana na Afrika/Bongo.
Nimeshuhudia vijana wanarudi na electronic appliances, vigari na simu tu kama faida ya kuwa huko. Mbali na hazo wengi huwa ni watu wenye jazba, tension, woga, msongo wa mawazo na kuogopa ogopa kufanya maamuzi.
Angalia watu waliosoma US, UK, Canada, Australia wako tofauti kabisa. Hata hawa viongozi wetu wewe wachunguze tu.
Hawakai chungu kimoja.
Asia twendeni tukatembee tu, siyo kula kitabu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huduma haipo muhimbili hiyo ndio maana unaambiwa uendz nje ya nchi kama ujeruman, usa, uk , norway, india, china nk ila india na china ni cheap na visa siku hiyo hiyo wanakupa. Sasa nenda ubalozi wa Ujeruman uombe visa ya matibabu uone usumbufu kwanza wana hofu unaweza kuzamia ukipona. India maisha magumu mitaani kuzamia ni ngumu, ni factors nyingi mkuu fuatilia hata google hapo uone, gharama za matibabu nchi zilizoendelea kwa wagonjwa ambao sio raia wao.Ni nafuu kuliko muhimbili?
Au baada tiba kushindikana kwenye hosp zenye waganga wenye elimu ya viwango tunavyojidaia hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha we jamaa una wivu sana. Kuna vyuo vipo South Korea ni vizuri kuliko hivyo vya Ulaya na Marekani.Watanzania wengi waliosoma vyuo ambavyo vipo nchi za Asia wana msongo wa mawazo/stress, umaskini wa mali na akili mwisho hufa maskini.
Mfano wa hizo nchi ni kama Japan, China , India, Korea etc ambazo lifestyle yao kuanzia vyakula, malazi, socialization nk ni tofauti sana na Afrika/Bongo.
Nimeshuhudia vijana wanarudi na electronic appliances, vigari na simu tu kama faida ya kuwa huko. Mbali na hazo wengi huwa ni watu wenye jazba, tension, woga, msongo wa mawazo na kuogopa ogopa kufanya maamuzi.
Angalia watu waliosoma US, UK, Canada, Australia wako tofauti kabisa. Hata hawa viongozi wetu wewe wachunguze tu.
Hawakai chungu kimoja.
Asia twendeni tukatembee tu, siyo kula kitabu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha mzee acha mizinga, huko Asia hawagawi hela. Ninaunga mkono juhudi za ndugu yako, azidi kukubania.Kuna Ndugu yangu kasoma masters na PhD huko Asia karudi amebadilika sana amekuwa na ubinafsi sijawahi ona
Hapo ulipo kuanzi chupi, nguo zote hadi simu ni made in China kuwa na adabu.Sasa huko utajifunza nini?
Wajapan wanejaa msongo, Wachina hawaeleweke zaidi kuongeza taka kichwani
Sent using Jamii Forums mobile app
Well said boss!Katika mahala ambako shule inapigwa hapa duniani ,INDIA ,KOREA na CHINA huwezi ukaziacha kwenye list,Huko nje inategemea umeenda kusoma chuo gani,india wana INDIAN INSTITUTE OF TECHLONOLOGIES hizo vyuo ni world class na wengi wakimaliza hapo wanakimbilia USA wengi ni ma CEO wa makampuni makubwa ,Nenda NASA,GOOGLE ,APPLE hakuna mahala utamkosa muhindi tena kwenye Vitenge,
Ndio maana tukiugua maradhi yakishindikana hapo muhimbili kwenye elimu ngumu tunakimbilia INDIA,CHINA nk Elimu ipo huko ila inategemea umefuata nini
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe umesoma wapi hata kuandika hujui??!!issue za malaysia ndio nilikuwa nimemaliza six zilitrend sana na semina zao maeneo ya posta washikaj wengi walijilipua sasa hivi wapo wapo tu.atawalichosomea wengine awakijui.china na india ndio wengi awajielewi
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂Skrepa kabisaMabinti waliosoma Asia wakirudi wanakua chuma chakavu
Huyo mleta mada mwenyewe hata chai hajanywa. Amejiunga bando la jero anaanza kukashifu watu.Mimi nimesoma China, Tianjin university, natamani sana kukutana na mtoa maada, nijiringanishe naye ndiyo nimjibu! Nahisi ana tatizo kubwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Una hasira sana na watu waliosoma nje. Hizo percentage unazipata wapi kama sio majungu mzee??!!!Asilimia 99.7 ya Watanzania wanaosoma China husoma vyuo vya ajabu. Peking unaweza kuta watz 3 au hakuna kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka akasome nchi gani na kozi gani? Hakuna linaloshindikana.Ivi nifafanuloeni apa ukisoma certificate apa bongo unaweza soma chuo chochote nje ya nchi ?
Mie mzazi Nina mwanangu kamaliza form 4 mwaka wa jana ana d 8 ya f ya commercia na Arabic anataka kusomea account ebu nielewesheni kwa uelewa wenu Nina ndoto akasome nje ya nchi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaa....vepeee Prof. Shika alisomea wapi jameni Asia, hivi Rusia ni Esheya au Asia?
Sent using Jamii Forums mobile app