Ukisikia Pinda ni mnafiki ona sasa haya

mimi sioni tatizo likowapi? kwa sababu taratibu za utumishi wa umma zinarusu waziri au katibu mkuu kupewa responsibility alllowance kati ya 100,000 hadi 200,00 kwa siku; kwa hiyo ukichukua 200,000 x siku 90 za bajet utapata tshs=18,000,000 sasa tatizo liko wapi? kwanza jairo ni mzalendo,maana kati ya mil 18 yeye amehukua mil 7 tu? ama kwa hakika anastahili sifa; viva Jairo
 
nimesoma mwanahalisi la leo kumbe pinda na makinda nao walisaini pesa za jairo ili hali wenyewe serikali inawalipia kila kitu.

Hao wawili walisaini kila mmoja 280,000 kwa kikao kisichozidi dakika 40. Sasa huyu ndo yule aliyekataa shangingi na ndio maana alikuwa mstari wa mbele sana kutetea bajeti huu ni uhuni sana!

kabla hujalaumu soma report yote, uielewe usikurupukie jf
 
Nimesoma mwanahalisi la leo kumbe Pinda na Makinda nao walisaini pesa za jairo ili hali wenyewe serikali inawalipia kila kitu.

Hao wawili walisaini kila mmoja 280,000 kwa kikao kisichozidi dakika 40. Sasa huyu ndo yule aliyekataa shangingi na ndio maana alikuwa mstari wa mbele sana kutetea bajeti huu ni uhuni sana!
......Pinda alishaukana utoto wa mkulima kwa matendo yake!!!!! huyu mwingine mmmmmmh, si tunda la ufisadi huyu!!!!!!
 
Nimesoma mwanahalisi la leo kumbe Pinda na Makinda nao walisaini pesa za jairo ili hali wenyewe serikali inawalipia kila kitu.

Hao wawili walisaini kila mmoja 280,000 kwa kikao kisichozidi dakika 40. Sasa huyu ndo yule aliyekataa shangingi na ndio maana alikuwa mstari wa mbele sana kutetea bajeti huu ni uhuni sana!


bora wewe umejua na unaombwa uwaeleze na wengine zaidi ili wajue kinachomshinda jk kufanya maamuzi magumu aka kujivua gamba na badala yake amtuma mwenezi aje na propaganda zitakazo wapumbaza kama vile siku 90 nk...Rostam yeye alishavuna alichopanda na hakutaka kuingia garama za kujisafisha badala yake akaamua kufanya biz zake baada ya mavuno na mafanikio...Akisema jk kesho atende haki ya kujivua gamba ni aslimia 95% aka futa mafisadi au vigogo wenye kashfa kubwa na ndogondogo bila kusahau asilimia 65% ya wabunge wa upinzani nao wana kashfa mfano inawezekana kuna wabunge au mbunge wa upinzani nae kala hela ya jairo....haki ikitendeka hatabaki hata balozi wa nyumba kumi na akiweko yeye jk no: 1 ndio maana anashindwa haki atatendaje ila kama hata mtoto wa mkulima tena haya mimi basi napita tuu
 
Hapa kinachotatiza sana zile idara za kuzuia na kupambana na rushwa hazijatoa kauli yoyote. Huko nyuma walichachamalia vijiposho vidoogo lakini leo siwasikii, Wapi sasa TAKUKURU na Mkuu wao? Yaani wanataka kutuambia tabgu sakata hili linaanza hawakuweza kupata ushahidi? Na Mkuu wa upelelezi na wa Mashtaka ya jinai alisema hana ushahidi wa kuwafikisha Kagoda mahakamani, je hapa napo? Idara zimekusanya waziwazi, pesa ikafika akaunti iliyoagizwa, malipo yakafanyika watu wameweka saini. Hivi mahakama zetu huwa zinahitaji ushahidi wa namna gani?
Kama yule kijana mpiga picha waliweza kumfuatilia mpaka wakamkamata anatoa hongo kwenye gari, akiwa na pingu ndani ya gari kilichoshindikana hapa ni kipi haswa?

Mungu ibariki Tanzania inaangamia kwa kasi mno!
 
Nilikataa toka mwanzo kuwa Jairo alikuwa anageuzwa bangusilo tu wa mfumo mbovu wa kiutawala. Mambo karibu yote yanayotajwa kwenye kamati kuwa ni udhaifu yalianishwa kwenye kamati mbalimbali na ripoti mbalimbali. Hakuna jambo lolote la kimfumo ambalo ripoti ya Kamati Teule iligundua ambalo lilikuwa halijulikani.

a. Tudai fedha zote za posho kutoka viongozi wote waliochukua zirudishwe.
b. Posho zote zinazohusiana na vikao zisitishwe zikiwemo posho nyingine za wizi (posho za nguo, n.k)
c. anything else...
Hata aina ya mishahara miwili na posho wanazolipwa Wakuu wa Mikoa ambao pia ni wabunge. Ninaamini nao wanachota kile kiinua mgongo cha Mil 100. Hapa na Mawaziri pia. Loh! Uongozi wetu Tanzania ni balaa!
 
Swali:

AnnieTANZANIA annie
@JMakamba ulihudhuria hii semina ya wabunge kuhusu sekta ya umeme ya tarehe 26 june 2011?

Jibu:

JMakamba January Makamba @
@AnnieTANZANIA Nilihudhuria. In fact, nilikuwa Chair wa semina. When done, nikaletewa Shs. 280,000/=. Nikawaambia sistahili. I was working.
​
Source:

jmtweet.jpg
 
Swali:

AnnieTANZANIA annie
@JMakamba ulihudhuria hii semina ya wabunge kuhusu sekta ya umeme ya tarehe 26 june 2011?

Jibu:

JMakamba January Makamba @
@AnnieTANZANIA Nilihudhuria. In fact, nilikuwa Chair wa semina. When done, nikaletewa Shs. 280,000/=. Nikawaambia sistahili. I was working.
​
Source:

View attachment 42053

Jamani I want to give my dues here,
Big up Makamba, bless you and keep it up.
Sometimes we just have to say no.
It is easy sometimes and sometimes not so easy, like this time, I know it was not so easy, as everybody else was taking the money, and the money might be be in some other thankful hands and not back in the govt.
Jikaze kaka, usibweteke unatafutwa na wengi sana. hakikisha unasimamia haki, transparency na goals na vision yako.
When your vision is reached or no longer valid that is then you quit,
 
Hawa wote ni majambazi tuu. Hakuna haja ya kutyuhumu lowasa peke yake wasimuoneee. Kwanza wameshibia sana hizo dili zake.
Hawa jamaa anaoteua kikwete hata ukiwaangali tu unaona ni feki. Pinda kapinda kweli huyo jamaa sifa yake ni ndiyo mzee basi. Toka amekuwa w/mkuu amefanya nini zaidi ya kulia.
Lowasa uendelee bora mwizi anayefanya kazi kuliko mwizi asiyefanya kazi. Kwa vile tumekuwa wapole acha watutafune kama funza mpaka akili irudi
 
mara zote huwa sipati logic ya posho hali mtu ana mshahara wake mkubwa naomba mnijuze kwa hili
 
Wanaweza wakapotezea kiaina kwa sasa kwa sababu ndiyo kawaida yao ila HISTORIA HAITAWABAKIZA WALA KUWAHURUMIA, Bora wachukue hatua sasa maana mwisho wa siku itakuwa kilio kwao na watoto wao, Angalau kwa sasa 2na mifano ya kutosha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom