Ukisikia nimesomea chini ya mbuyu, usibishe...

Salamander

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
28,545
Reaction score
15,781

11919124_1297090023638746_4332479414102080335_n.jpg
 
Ukichagua ccm ujue laana ya watoto kama hawa na wengine wanaoishi kwa mlo mmoja kwa siku itakufuata vizazi vyako vyote.
 
Hahahahaah nimekumbuka mama akiniambia hutaki kuenda shule kwanini? Wenzenu tumesoma kwa shida chini ya miembe hahahahaha najua tu alikua ananitania ili nipende shule
 
Hapo utakuta wazazi wa hao watoto wanaichagua CCM.
 
Hahahahaah nimekumbuka mama akiniambia hutaki kuenda shule kwanini? Wenzenu tumesoma kwa shida chini ya miembe hahahahaha najua tu alikua ananitania ili nipende shule

Habari yako. Nimekumiss.
 
Hii shule kama mimi ningekuwa nimejaa ningewasaidia wajenge madarasa na nyumba za walimu modern. Lakini bwalo la mikutano (assembly hall) lingekuwa kwamba huo mbuyu ni sehemu ya jukwaa lake na unaonekana kwa ndani.

Jamani, miaka zaidi ya 50 ya uhuru, eh!
 
Hapo sijui laptop itatumikaje sasa! Teh teh teh!
 
Ukichagua ccm ujue laana ya watoto kama hawa na wengine wanaoishi kwa mlo mmoja kwa siku itakufuata vizazi vyako vyote.

ungekuwa unalaani wewe hapo sawa...
hata ndani ya Hongkong china kuna watu wanalala njaa, ndani ya London city England kuna wanaolala njaa kwa umaskini...
Maendeleo ni kitu endelevu sio cha miaka kumi wala ishirini,
 
Hahahahaah nimekumbuka mama akiniambia hutaki kuenda shule kwanini? Wenzenu tumesoma kwa shida chini ya miembe hahahahaha najua tu alikua ananitania ili nipende shule

Mama hakuwa anakutania mkuu.

Mimi (true story) nilisoma vidudu-ish (enzi hizo hakukua na vidudu) na la kwanza chini ya MIEMBE (literally). Nilipokuwa darasa la 10 na 11 nilikuwa natumia viunga vya minazi vya Msambweni (Tanga) kama library yangu kwa sababu library ya Tanga ilikuwa ni makutano ya wapendanao na nyumbani uswahilini hapasomeki. Lakini Mungu-bariki nilichoropoka.

Samahani, sidhani mnataka kusikia hadithi ya maisha yangu lakini nina matumaini hao waliopo chini ya huo mbuyu nao watanusurika - sijui wangapi?

Nilifikiri haya mambo saa hizi yatakuwa yamekwisha lakini wapi. Basi tusubiri ahadi mpya baada ya Oktoba 25.

Mkuu Farkhina, sikutaka kukukwaza kwenye siasa lakini saa nyingine nashindwa kujizuia. Samahani.
 
Bila ya samahani....ahsante sana kwa kunielewesha
 
Back
Top Bottom