Machozi yamenitoka kwani na mie nimetokea huko huko, unatoka nyumbani kufika shule umelowa kwa umande utadhani umepigwa na mvua, mwendo wa pekupeku, lakini niliposoma mie shule imeboreshwa, kumbe mpaka sasa bado ipo hiyo hali
Nzuri tu mambo vipi?
Poa. za mida? umepotea.
Nzuri nipo nipo
ungekuwa unalaani wewe hapo sawa...
hata ndani ya Hongkong china kuna watu wanalala njaa, ndani ya London city England kuna wanaolala njaa kwa umaskini...
Maendeleo ni kitu endelevu sio cha miaka kumi wala ishirini,
kuna msaada wa turubai wamepata
London ushafika au unaongea porojo tu?
hivi kwamfano hii serikali yetu tukufu ingekuwa imewanunulia hawa wabunge vitz za kutembelea badala ya kununua hayo hizo V-8 si wangejenga madarasa mengi saana?? ubinafsi tu umejaa