utaskia maliza bana mie nimechoka nilale 🐒"UKISHAOLEWA" habari ya "KISS" sahau kabisa, huo mdomo utautumia "KUGOMBANA" 😂
Sio mchezoKazi kwelikweli
Nn wee?
Ntadai taraka😂😂😂Ukishaolewa habari ya 'kiss' sahau kabisa, huo mdomo utautumia "Kugombana" 😂