Ukitegemea hivi vitu vitatu sahau utajiri abadani

Black poison The Factor

JF-Expert Member
May 31, 2020
854
1,257
Wakuu niende kwenye mada moja kwa moja

Kiukweli kabisa watu wengi wamejikuta njia panda kuhusu kutoboa kimaisha, ila kwa asilimia kubwa hivi vitu vitatu ndio chanzo kikubwa.

1. Kumtegemea mwanasiasa.
Hakuna kitu kibaya kama kumchagua mwanasiasa huku ukitegemea ipo siku atakutoa kimaisha, hilo sahau kabisa wewe mchague mtu bora kisha pambana na maisha na usahau kabisa kama ulipiga kura. hapa itakusaidia hata kisaikolojia.
Mwanasiasa mwenyewe anakutegemea wewe umpe mtaji.

2. Waganga/wachawi
Janga lingine ni hili pia watu wengi huwategemea hawa watu kwa kujua watatoboa ila mwisho wa siku hola hakuna maisha ya muujiza wewe, tafta hela kwa juhudi zako. hata kama utategemea ila usiweke 100%

3. Dini
Huu ni Moja kati ya ukweli mchungu kabisa, usijiloge kwamba kuna siku utaombewa upate muujiza wa kimaisha utaishia kuwachukia watu, hapa wahanga wengi ni wanawake. Kumekua na watoa Ibada wengi ambao wajifanya ni watoa miujiza kwa kutoza pesa,, ndugu utaibiwa mpaka uote kipara, wapo kabisa ambao wanakuambia ukitoa 300k basi muujiza wako utaupata ndani ya siku chache tu, ukishampa alafu ukafanyiwa hiyo Ibada siku ukirudi kuuliza kwamba mbn hakuna matokeo atakuambia kwamba Mungu hachelewi wala hawahi.

Mtu pekee wa kubadilisha maisha yako utamuona ukiweka kioo mbele yako tu, wengine ni madaraja ya kukusogeza tu ila sio kutoboa.

Tujitumeni kwa akili na nguvu zetu matokeo tutayapata.
 
Kweli!
Japo Kuna nguvu fulani katika utoaji was fungu la kumi mahali sahihi!!

Utajiri hautafutwi kwa juhudi pekee wakati utajiri ni baraka TU mungu humpa mtu!!

Hao unaodhani ni matajiri Wana siri zao sio bidii ya KAZI pekee indio huwatoa!juhudi na kazi huleta Hela kujikimu Bali utajiri ni hatma ya Mungu TU!!

Refer king Solomon tajiri mkuu kuliko Elon musk!
 
Ni sawa mkuu ila watu walio wengi mentality yao inahabika zaid kwa kuendekeza hayo mambo
 
No 2 unafeli
 
Unless wewe ni tajiri. Tofauti na hivo hizi ni mboyoyo. Acha watu wategemee wanavyo vitegemea.
 
Hivi vitu ulivyoorodhesha (2, 3) wala siyo vitu vigumu kiasi cha kuandikia thread japo najua kweli kuna watu wajinga wengi wanategemea vitu kama hivyo. Ila namba i.e mwanasiasa moja lina connection na watu kutoboa maisha.
 
Dini zimefanya watu matajir mkuu

Mwamposa

Tb Joshua

Joe devie na wengine kibao

Siasa zimewatoa watu kibao mzee we kua mbambe tu wa kina lizyone

Uchawi ndo useme 90% ndo matajir wa uchawi
 
Wakuu niende kwenye mada moja kwa moja

Kiukweli kabisa watu wengi wamejikuta njia panda kuhusu kutoboa kimaisha, ila kwa asilimia kubwa hivi vitu vitatu ndio chanzo kikubwa.

1. Kumtegemea mwanasiasa.
Hakuna kitu kibaya kama kumchagua mwanasiasa huku ukitegemea ipo siku atakutoa kimaisha, hilo sahau kabisa wewe mchague mtu bora kisha pambana na maisha na usahau kabisa kama ulipiga kura. hapa itakusaidia hata kisaikolojia.
Mwanasiasa mwenyewe anakutegemea wewe umpe mtaji.

2. Waganga/wachawi
Janga lingine ni hili pia watu wengi huwategemea hawa watu kwa kujua watatoboa ila mwisho wa siku hola hakuna maisha ya muujiza wewe, tafta hela kwa juhudi zako. hata kama utategemea ila usiweke 100%

3. Dini
Huu ni Moja kati ya ukweli mchungu kabisa, usijiloge kwamba kuna siku utaombewa upate muujiza wa kimaisha utaishia kuwachukia watu, hapa wahanga wengi ni wanawake. Kumekua na watoa Ibada wengi ambao wajifanya ni watoa miujiza kwa kutoza pesa,, ndugu utaibiwa mpaka uote kipara, wapo kabisa ambao wanakuambia ukitoa 300k basi muujiza wako utaupata ndani ya siku chache tu, ukishampa alafu ukafanyiwa hiyo Ibada siku ukirudi kuuliza kwamba mbn hakuna matokeo atakuambia kwamba Mungu hachelewi wala hawahi.

Mtu pekee wa kubadilisha maisha yako utamuona ukiweka kioo mbele yako tu, wengine ni madaraja ya kukusogeza tu ila sio kutoboa.

Tujitumeni kwa akili na nguvu zetu matokeo tutayapata.
Kubeti umekuacha mkuu.

Au ni sayansi ile?
 
Sasa mtamtegemea wangapi
Pengine neno ''kutegemea'' ni too ambiguous mkuu. Kutegemea ninakomaanisha siyo mtu ukae bwata halafu mwingine akuletee. Hebu chukuwa huu mfano. Umeenda Rukwa ndani ndani huko, umelima mahindi yako kwa ma-heka na umevuna sana. Wakati huo huo soko la mahindi Kenya ni zuri sana na wewe umeona ukifanikisha kuyafikisha Kenya utapata faida kubwa. Je, kama hakuna barabara nzuri kutoka huko kwa sababu watawala wamefisadi fedha zilizotakiwa kujenga hiyo barabara utafanisha lengo lako? Je, kama kuna katazo kutoka kwa mwanasiasa la kuzuia mtu yeyote kuuza mahindi yake nje ya nchi utafanikiwa? Nawasilisha!
 
Kweli!
Japo Kuna nguvu fulani katika utoaji was fungu la kumi mahali sahihi!!

Utajiri hautafutwi kwa juhudi pekee wakati utajiri ni baraka TU mungu humpa mtu!!

Hao unaodhani ni matajiri Wana siri zao sio bidii ya KAZI pekee indio huwatoa!juhudi na kazi huleta Hela kujikimu Bali utajiri ni hatma ya Mungu TU!!

Refer king Solomon tajiri mkuu kuliko Elon musk!
Hilo fungu la kumi huwezi wapatia jirani zako walio ktk maisha magumu au kule kijijini kwenu?? Hivi akili inakukupa kabisa kumpelekea mwanaume mwenzio na amekuzidi kipesa?? Sasa wakati mnatowa mnawaza yeye anazipeleka wapi?? Job tru tru alisikika mchangiaji mmoja.
 
Hajanizidi pesa!amenizid kiwango Cha kiroho na utumishi was Kila siku Kwa mungu wake!!
 
Back
Top Bottom