Walimu wa Tanzania hususan wa shule za serikali mna kalba zifuatazo;
1)Mna inferiority complex kubwa sana hiyo ndio imezalisha nidhamu ya uoga kiasi cha kunyenyekea hadi wasiopaswa kunyenyekewa,japo haistahili mtu kunyenyekewa.
2)Mna play victim too much,kiasi mnajidogosha kuonekana wenye shida ni ninyi na mnaoonewa sana kuliko wote ni ninyi.
3)Mambo mengi yanapozungumzwa kuhusu ninyi mnayachukulia kwa mawazo
Hasi/negativity,mfano mkubwa ni wewe hapo madam.
Hizi kalba tatu zimewaletea tabu kiasi mmekua watu wa kuburuzwa sana aisee katika maisha in all aspects.
Angalau wenzenu wa English medium wamejitutumua kiasi chake.
Sasa hizo kalba za hapo juu ndizo zikazalisha mambo ambayo madam
Kapeace ameyaelezea.
Pia ninyi ndio mfano kwa jamii nzima,ila imekua tofauti ninyi mkajisahau badala ya kuwa viongozi wa mfano mkawa nyumbu fuata mkumbo.
Ninyi ni sawa na viongozi wasioweza kujiongoza.