Ukishangaa ya Mussa

Ukishangaa ya Mussa

Walimu wa Tanzania hususan wa shule za serikali mna kalba zifuatazo;
1)Mna inferiority complex kubwa sana hiyo ndio imezalisha nidhamu ya uoga kiasi cha kunyenyekea hadi wasiopaswa kunyenyekewa,japo haistahili mtu kunyenyekewa.
2)Mna play victim too much,kiasi mnajidogosha kuonekana wenye shida ni ninyi na mnaoonewa sana kuliko wote ni ninyi.
3)Mambo mengi yanapozungumzwa kuhusu ninyi mnayachukulia kwa mawazo Hasi/negativity,mfano mkubwa ni wewe hapo madam.
Hizi kalba tatu zimewaletea tabu kiasi mmekua watu wa kuburuzwa sana aisee katika maisha in all aspects.
Angalau wenzenu wa English medium wamejitutumua kiasi chake.
Sasa hizo kalba za hapo juu ndizo zikazalisha mambo ambayo madam Kapeace ameyaelezea.
Pia ninyi ndio mfano kwa jamii nzima,ila imekua tofauti ninyi mkajisahau badala ya kuwa viongozi wa mfano mkawa nyumbu fuata mkumbo.
Ninyi ni sawa na viongozi wasioweza kujiongoza.
Walimu wasioweza kujifundisha, kweli mganga hajigangi, tatizo lilianziaga walimu wa shule za msingi miaka hii hadi walimu wa sekondari ni walewale
 
Unalalama mnadharaulika ndo tunakupa sababu inayopelekea kudharaulika kwwnye jamii, usitafute chaka la kuzidiwa mara mmetufundisha inakuwa kama mama anaedaiwa na mwanae akianza kuleta visababu vya unajua nimekuzaa niliteseka sana, hizo ni bla bla blaaa blaaa
Hapo kwenye bla bla blaa umenikumbusha katuni ya Hotel transylvania blee blee blee😂😂😂😂😂.
Madam you made my day.
 
Yote nimekuelewa mkuu,lakini bado mwapeleka watoto kwa hao wasioweza jiongoza,je hamuoni kwamba nyie ndo wapumbavu?
😂😂😂😂😂Unajua madam ungekua karibu ningekupiga konzi la komwe aiseee!!??
Tunawaleta kwenu kwasababu hii ndio kazi yenu,kukengeuka kwenu bado haiondoi kuwa ninyi ndio wafuta ujinga wa watoto wetu.
Ila hiyo haimaanishi kuwa tukae kimya tusiwakumbushe ninyi kina nani.
Mbona wenzenu wa private schools wako njema aiseee!?
Jitahidini kujikumbuka ninyi kina nani mmejisahau.
Yani kama hili taifa lingetakiwa lifanyike mapinduzi ya uongozi serikalini basi walimu ndio wakwanza ambao wangefanikisha hilo na imekua tofauti kwa kuwa wakwanza kulikwamisha hilo.
 
Walimu wasioweza kujifundisha, kweli mganga hajigangi, tatizo lilianziaga walimu wa shule za msingi miaka hii hadi walimu wa sekondari ni walewale
Halafu kwa ku play victim sasa kama mama anayedaiwa na mwanaye.
 
So Sorry Teacher T.y,,,Kwa niaba Yao,,,ni vijikwezo vya kiubinadamu na kujisahau kupitiliza.
 
Oooh jaman mbona una hasira na mwalimu wetu humu jf leo🤣au kuna ticha keshawahi kubutua bila kosa enzi zako

sio kushukuriwa,,ni kama tunawadharau , kwaio anataka tuache eti
Wanapewa malipo ya kazi yao, kubutuliwa huko ni kawaida yao kutafuta pa kushushia hasira zao nashukuru saiv wanabanwa na serikali katika jambo zima la adhabu, sasa machungu aliyonayo mtoa mada unadhani mtoto asipoelewa aeiou nini kitamkuta!

Sie hatuna shida nao wao ndo wanajushtukiaga tu wakijileta km hivi unawaambia ukweli wao wanaanza na kulaani, nilikufundisha my foot
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom