Ukishangaa ya Mussa

Ukishangaa ya Mussa

Kujisimamia? Yaan unamaanisha mwatulelea mpaka wanetu? Mwatusomeshea wanetu? Acheni dharau kwa mtu msiyemsaada nae...tunashindwa nyie mwaweza basi tuacheni....mnacho siye hatuna basi tuacheni....twatumika nyie hamtumike basi tuacheni....why mshughulike na watu wanaowawezesha mjue kitu then wanaendelea na wengine pasipo kuwaumizeni Wala kuwanyang'anya.... Kapeace ishi vizuri na walimwengu Wala hutopungukiwa kitu,kumdharau mtu mwingine Wala hakutokupa ufahari kipenzi👊
kama hayatuhusu mada umeleta ya nini? Si ungetulizana ujilie mshahara wako, umeona sasa akili zenu zinavyofanya kazi km watoto wewe mwenyewe ukiwa mfano, yani mada umeileta kwa mayowe mengi ili muonewe huruma, nakupa uhalisia wa tabia zenu umeshageuka mtabiri nani kakwambia siishi vizuri na watu?

Msijibanze kwenye kutufundisha ili kuficha uhalisia wenu,
 
Kama mnataka heshima kama walivyo heshimiwa walimu wa zamani inabidi Elimu mliyo nayo iwakomboe akili sio wanasiasa na ccm wanawatumia kama karatasi za chooni kila mara na nyie mnakubali tuu alafu eti mnataka heshima ya kutoka wapi 🤔🤔 mtaendelea kudharaulika na kuchukuliwa watu wa hovyo hadi mtakapo jitambua
Wewe umetutumia umetupa Nini,Kama wanatutumia na hawatupi kitu kwako wapunguka Nini....mwanao anashindwa kujua kusoma na kuandika? Halafu Kama siye mwatuona hatuna akili kwanini mwatuamini na kutuletea watoto wenu tuwafundishe? Hamuogopi tutawaharibu akili? ....Mwanadamu bhana🙌
 
kama hayatuhusu mada umeleta ya nini? Si ungetulizana ujilie mshahara wako, umeona sasa akili zenu zinavyofanya kazi km watoto wewe mwenyewe ukiwa mfano, yani mada umeileta kwa mayowe mengi ili muonewe huruma, nakupa uhalisia wa tabia zenu umeshageuka mtabiri nani kakwambia siishi vizuri na watu?

Msijibanze kwenye kutufundisha ili kuficha uhalisia wenu,
Nimeileta ili mstaarabike nyie mjionao mmekamilika.Maisha ya watu mliowazidi akili yaacheni kipenzi
 
Kama mnataka heshima kama walivyo heshimiwa walimu wa zamani inabidi Elimu mliyo nayo iwakomboe akili sio wanasiasa na ccm wanawatumia kama karatasi za chooni kila mara na nyie mnakubali tuu alafu eti mnataka heshima ya kutoka wapi 🤔🤔 mtaendelea kudharaulika na kuchukuliwa watu wa hovyo hadi mtakapo jitambua
Kabisa kabisa, wanalalamika hawaheshimiki wakati wao wanatengeneza mazingira ya kudharauliwa,
 
Kinachokulalamisha ni nini sasa, walimu bhana, hamkuagi tu hata muwe na miaka 60, unakuta mtu ana zaidi ya miaka 45-55 lakini anadanganyika na Q-NET, kuna mwalimu kanifundisha mengi, ila aliliwa mil 5 na hao qnet mwaka 2021 😅😅😅ndo nikajua akili za mwalimu hazina akili, na huyo ni mwenyekiti wenu CWT mkoa kilaza namna hiyo! Hao wengine watakuwaje
Muache kidogo dada yetu kaumia 🤣🤣🤣🤣sasa ww ndo unaongeza maumivu tuwaonee huruma walim wetu.
 
Yaan ufanye Kaz ya kumtoa kamasi,kumlinda,kumpa elimu na malezi stahiki....lakini akipata ufahamu kupitia wewe mwenyewe ageuke aanze kukuona mjinga,fala,maskini....

Okee okee,sawa mie ni maskini,Nina tabu na maisha...lakini je huwezi shukuru pamoja na umaskini wangu bado niliweza kukufungua hilo lifuvu? Kwani kumshukuru mtu inagharimu bei gani?

Haya sawa,twala dagaa na ugali,kwanini usumbuke na maisha yetu ambayo hayakuharibii cheo chako Wala kukuharibia future yako.Ifikie hatua tujifunze kumweshimu mtu na hali aliyonayo hatakama umemzidi Sana.Yaan tuache kushughulika na maisha ya mtu ambaye huna msaada nae.

Hivi walimu sijui tuliwakosea nini eti nyie nyumbu?🥴🤭
Walimu ni watu muhimu sana, ipo siku mtakumbukwa tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom