Ukishangaa ya Mussa

Ukishangaa ya Mussa

Wao wenyewe ndo wa kwanza pia kuvaa kofia na vitenge vya ccm toleo la kwanza🤣
Walimu nyama wakivaa zile T-shirt za CWT huwa wanavimba wanaona wamewin, ni walimu hao mwenye ukipita kwao lazima wakatwe kuchangia mbona hatusikii kwa wengine??, mna chama cha kuwatetea lakini mbona hakiwatetei, mainjia hivi wana chama?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom