Ukishangaa ya Mussa

Ukishangaa ya Mussa

Nimeileta ili mstaarabike nyie mjionao mmekamilika.Maisha ya watu mliowazidi akili yaacheni kipenzi
Unalalama mnadharaulika ndo tunakupa sababu inayopelekea kudharaulika kwwnye jamii, usitafute chaka la kuzidiwa mara mmetufundisha inakuwa kama mama anaedaiwa na mwanae akianza kuleta visababu vya unajua nimekuzaa niliteseka sana, hizo ni bla bla blaaa blaaa
 
Wewe umetutumia umetupa Nini,Kama wanatutumia na hawatupi kitu kwako wapunguka Nini....mwanao anashindwa kujua kusoma na kuandika? Halafu Kama siye mwatuona hatuna akili kwanini mwatuamini na kutuletea watoto wenu tuwafundishe? Hamuogopi tutawaharibu akili? ....Mwanadamu bhana🙌
Kama mngekua mnajitambua mngejiuliza nyie wenyewe kwa nini mna dharaulika na wanao wadharau ni wale mnao wafundisha, itumieni Elimu kukomboa hizo akili zenu zilizoko kifungoni bila kujitambua Kila kizazi kitaendelea kuwadharau na kuwaona ni watu wa hovyo tuu
 
Mnafanya kazi nzuri shida yenu kubwa ni kupelekeshwa kama kondoo anaeswagwa kwenda machungani yaani nyie ni "NDIO MZEE". siku niliposhuhudia mkurugenzi akiwatoa hofu viongozi kuhusu kujaza watu ukumbi fulani alipokuja kiongozi fulani kwamba watatumika walimu na ni kweli simu ilipigwa hapohapo agizo likatolewa siku fulani walimu wote wa halmashauri wawepo ukumbi fulani, waambie kutakua na chai na nauli. Aisee nilichoka siku ile na kweli siku husika ilipofika ukumbi ulifurika walimu mpaka haukutosha, since then walimu huwa naona ni watu wasiojielewa though ni kweli wanafanya kazi nzuri ya kututoa ujinga.
 
Unalalama mnadharaulika ndo tunakupa sababu inayopelekea kudharaulika kwwnye jamii, usitafute chaka la kuzidiwa mara mmetufundisha inakuwa kama mama anaedaiwa na mwanae akianza kuleta visababu vya unajua nimekuzaa niliteseka sana, hizo ni bla bla blaaa blaaa
Hata mama ana sababu ya kulalamika Kama kweli wayajua malezi ya mtoto yalivyo ya shida.Mtu anaekusaidia afu hakudhuru usimrudishie dharau...mwache hivyohivyo na shida zake...kidogo anachopata ndiyo familia yake yakitegemea....
 
Kwani kazi zenyewe ngumu kzipata nao si ni kazi
Umuhimu wa kazi hii twaujua siye tuliomo dimbani...mtu akiona si muhimu anaiacha....vijana wamesomea na wanatafuta ajira....waliokuwa wanalipa ada ni wazazi haohao
 
Hata mama ana sababu ya kulalamika Kama kweli wayajua malezi ya mtoto yalivyo ya shida.Mtu anaekusaidia afu hakudhuru usimrudishie dharau...mwache hivyohivyo na shida zake...kidogo anachopata ndiyo familia yake yakitegemea....
, sasa ticha si umetuletea mwenyewe yanayokusibu huko kazini?
 
Walimu ni watu muhimu sana, ipo siku mtakumbukwa tu.
Siyo na ccm, labda tupate serikali nyingine lakini siyo hawa manyang'au nasikia yamejiongezea yenyewe mshahara kwa 100%

Yule Kigagula wa Marekani ana ushahidi maafisa ubalozi waliopo Marekani na Canada wanalipwa million 30 kwa mwezi posho, na familia zao zinahudumiwa, halafu anatokea mwalimu wa UPE anajiona yeye ni muhimu serikalini, Chinekeee!
 
Mnafanya kazi nzuri shida yenu kubwa ni kupelekeshwa kama kondoo anaeswagwa kwenda machungani yaani nyie ni "NDIO MZEE". siku niliposhuhudia mkurugenzi akiwatoa hofu viongozi kuhusu kujaza watu ukumbi fulani alipokuja kiongozi fulani kwamba watatumika walimu na ni kweli simu ilipigwa hapohapo agizo likatolewa siku fulani walimu wote wa halmashauri wawepo ukumbi fulani, waambie kutakua na chai na nauli. Aisee nilichoka siku ile na kweli siku husika ilipofika ukumbi ulifurika walimu mpaka haukutosha, since then walimu huwa naona ni watu wasiojielewa though ni kweli wanafanya kazi nzuri ya kututoa ujinga.
Oke oke,haya nyie sekta zingine ni mageuzi gani mmefanya? Yapi ambayo mwalimu anapelekeshwa Kama kondoo nyie mmeikomboa nchi? Kama hamuitaki CCM msitegemee walimu wakatae kupewa Kaz na serikali ambayo ndiyo inalipa mishahara ya watumishi wote huku nyie mmekaa tu....Nanyi ni wananchi,Kama mwaumia wajibikeni msikike....walimu walimu....kwanini msistop kuleta wanenu tusije tukawajaza ujinga!?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom