Ukishangaa ya Mussa

Ukishangaa ya Mussa

Wanapewa malipo ya kazi yao, kubutuliwa huko ni kawaida yao kutafuta pa kushushia hasira zao nashukuru saiv wanabanwa na serikali katika jambo zima la adhabu, sasa machungu aliyonayo mtoa mada unadhani mtoto asipoelewa aeiou nini kitamkuta!

Sie hatuna shida nao wao ndo wanajushtukiaga tu wakijileta km hivi unawaambia ukweli wao wanaanza na kulaani, nilikufundisha my foot
Adhabu,kwani Nani kasema kumfundisha mtoto lazima upige😳 huyu dada huyu mbona Kama ndo umeanza kuharibu
 
Yaan ufanye Kaz ya kumtoa kamasi,kumlinda,kumpa elimu na malezi stahiki....lakini akipata ufahamu kupitia wewe mwenyewe ageuke aanze kukuona mjinga,fala,maskini....

Okee okee,sawa mie ni maskini,Nina tabu na maisha...lakini je huwezi shukuru pamoja na umaskini wangu bado niliweza kukufungua hilo lifuvu? Kwani kumshukuru mtu inagharimu bei gani?

Haya sawa,twala dagaa na ugali,kwanini usumbuke na maisha yetu ambayo hayakuharibii cheo chako Wala kukuharibia future yako.Ifikie hatua tujifunze kumweshimu mtu na hali aliyonayo hatakama umemzidi Sana.Yaan tuache kushughulika na maisha ya mtu ambaye huna msaada nae.

Hivi walimu sijui tuliwakosea nini eti nyie nyumbu?🥴🤭
Tenda wema nenda zako.
 
Wanapewa malipo ya kazi yao, kubutuliwa huko ni kawaida yao kutafuta pa kushushia hasira zao nashukuru saiv wanabanwa na serikali katika jambo zima la adhabu, sasa machungu aliyonayo mtoa mada unadhani mtoto asipoelewa aeiou nini kitamkuta!

Sie hatuna shida nao wao ndo wanajushtukiaga tu wakijileta km hivi unawaambia ukweli wao wanaanza na kulaani, nilikufundisha my foot
😢😢🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾 Heshima yako mkuu
 
Unalalama mnadharaulika ndo tunakupa sababu inayopelekea kudharaulika kwwnye jamii, usitafute chaka la kuzidiwa mara mmetufundisha inakuwa kama mama anaedaiwa na mwanae akianza kuleta visababu vya unajua nimekuzaa niliteseka sana, hizo ni bla bla blaaa blaaa
Huu utundu unaonekana kila jila na msumbufu ulikuwemo😁
 
Oke oke,haya nyie sekta zingine ni mageuzi gani mmefanya? Yapi ambayo mwalimu anapelekeshwa Kama kondoo nyie mmeikomboa nchi? Kama hamuitaki CCM msitegemee walimu wakatae kupewa Kaz na serikali ambayo ndiyo inalipa mishahara ya watumishi wote huku nyie mmekaa tu....Nanyi ni wananchi,Kama mwaumia wajibikeni msikike....walimu walimu....kwanini msistop kuleta wanenu tusije tukawajaza ujinga!?
Watoto tutawaletea tu muwatoe ujinga kama mlivyotutoa sisi ila ukweli lazima tuwaambie, acheni kutumika kama backup mambo ya watu fulani yakikwama. Mbona wasiwaite watumishi wa TRA au TANESCO kuja kwenye mambo yao mnaitwa nyie?
 
Yaan ufanye Kaz ya kumtoa kamasi,kumlinda,kumpa elimu na malezi stahiki....lakini akipata ufahamu kupitia wewe mwenyewe ageuke aanze kukuona mjinga,fala,maskini....

Okee okee,sawa mie ni maskini,Nina tabu na maisha...lakini je huwezi shukuru pamoja na umaskini wangu bado niliweza kukufungua hilo lifuvu? Kwani kumshukuru mtu inagharimu bei gani?

Haya sawa,twala dagaa na ugali,kwanini usumbuke na maisha yetu ambayo hayakuharibii cheo chako Wala kukuharibia future yako.Ifikie hatua tujifunze kumweshimu mtu na hali aliyonayo hatakama umemzidi Sana.Yaan tuache kushughulika na maisha ya mtu ambaye huna msaada nae.

Hivi walimu sijui tuliwakosea nini eti nyie nyumbu?🥴🤭
Tatizo lenu hadi tunawachukia ni kitendo cha nyinyi kutumika na kupiga kolabo na wale.
 
Piga kazi mama msapu, achana na maneno ya waja.

Na mbona siku hizi wengi mmejanjaruka, wapo wenye vipato vizuri tu.

Ila tu kinachokera ni walimu kua na mabosi mia, kila boss anamkaripia mwalimu. Kune ile kipindi ati maticha walilambwa mboko alooo.
Na kingine umoja wa walimu ni changamoto, hamna umoja ilhali ni wengi sijui kwanini..

Hili kundi la walimu kwa wingi wao, linaweza kuleta mabadiliko chanya kwenye sekta ya elimu kama kutakua na sauti ya pamoja.

NB. Ualimu ni wito.
 
Walimu mkitaka muheshimiwe anzeni kufundisha namna ya kutafuta,kuheshimu na kuwekeza pesaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom